Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,501
- 1,956
Mkuu hata mimi sielewi maana sijui anataka kumkomoa nani mtoto au baba? Sometimes kweli common sense ain't common[no hakuna ninayemkomoa ninataka kutengeneza mazingira mazuri ya ukweli wa maisha yangu na baba yake.ctaki kumficha wala kumdanganya.coz it might cost me later on.
]
sijawahi kuwa na tabia ya kusikiliza kesi upande mmoja. i am sorry my dia. you might be a source of what is happening to you endapo upande mwingine ungepata chance ya kujieleza.