[sipafahamu kwao wala yy hapafahamu kwetu.ndo tulikuwa kwenye mchakato nikijifungua aje kwetu then twende kwao ndo turudi nyumbani kwetu dar.
~wazazi wote wawili wanfahamu cc kukaa pamoja.na huwa wanakuja kututembelea
~ckuwahi kutaka kumfikiria hivyo.coz ningeumia kutokana na kumpenda sana.
~kuhusu kupandikiza mtoto chuki siwezi ninachotaka kufanya ni kumweleza ukweli kabla ya yeye kuniuliza baba yuko wapi.)
Nshakwambia we relax bana,nyonyesha mtoto, mpe mapenzi,acha kumwabukiza ma negativity,kwanza hayamhusu, kababy kenyewe hata akili ya kuelewa bado.Haya ya ntamwambia mtoto ni hasira tu itaisha na usijeshangaa ukazaa naye mtoto mwingine,si unajua zimwi likujualo?