Ni lazima Simba atinge Robo Fainali katika Kundi D

Hii timu ya wachezaji kina Mugalu, Bocco na Muzamiru haiendi popote
 
Simba chama langu lakini hatujifunzi kwamakosa kunahaja gani yakusubiria kushindia nyumbani
 
Yani team zote ni mboovuu....
 
Hilo neno "Lazima" umewaza nini? kama wewe ume weza kupata draw away wenzako wasiweze? mwenye uwezo ata enda quarter final tusubiri mda utaongea
 
Usiseme ni lazima Simba hii Haina kiwango Chochote Cha kutisha. Kikubwa mupambane uwanjani sio porojo midomoni mtaangukia pua
Wenye viwango wanacheza kombe gani kimataifa?

Wapumbavu km ww wanapatikana Tz tu. Simba inacheza mashindano ambayo ww yalikushinda Lin bado unajinasibu ww ni bora. Upumbavu wa hali ya juu sana.

Ipeni simba heshima yake.

Nataka nikwambie Yanga unayoiona leo , mwakani itashiriki Kimataifa na itatolewa kwa mechi 2 tu. Hii Ni timu ya kuwafunga Geita, Mbeya kwanza na Mbuni FC. Hakuna timu pale ya kufurukuta kimataifa.

Tuweke akiba ya maneno.
 
Toka kule ww,, mngekuwa wazuri msingecheza hizi match za michecheto na mnaambulia kufungwa tu.. wanaume wako Club Bingwa kisoda wewe..
Sasa mwaka huu wanaume tumerudi kwenye form na tunachukuwa vikombe vyote.
Nyie ni Makolos tu kama Makolos wengine
 
Ubora wa Yanga ni kutolewa mapema kimataifa na ubovu wa Simba kubaki kimataifa. Iko hivi kwasabab utamsikia shabiki wa Yanga anasema hii simba mbovu haiendi kokote kimataifa, anasahau kwamba Yanga ilitolewa raundi ya awali kabisa.
 
Toka kule ww,, mngekuwa wazuri msingecheza hizi match za michecheto na mnaambulia kufungwa tu.. wanaume wako Club Bingwa kisoda wewe..
Sasa mwaka huu wanaume tumerudi kwenye form na tunachukuwa vikombe vyote.
Nyie ni Makolos tu kama Makolos wengine
Wewe unaenda manungu mwenzako anaenda Morocco, huoni tofauti?

Huku aliko simba ambako hawako wanaume mbona hata usipate nafasi ya kucheza huko? We Ni zuzu.

Kumbe unajua huwa Simba ni mwanaume na huwa anacheza na wanaume wenzake.

Timu bora ziko kimataifa, Azam na Biashara wako wapi ? Walishaaga, walishindwa kucheza na wanaume.

Anachofanya Simba Ni kile ambacho wewe ulishindwa, mechi 2 tu chali. Heshima boya wewe.

BTW hakuna Utopolo mwenye akili.
 
Mashabiki wa Mikia hongereni Sana kwa kuchukuwa ubingwa wa Ligi kuu mwaka wa 5 mfululizo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…