Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenge na chura yako. Muulize As Vita kilimkuta nini kule congo.Kwa hiyo mganga wenu ndio kawaambia mtashindaga tu nyumbani always, Galaxy waliwafanyaga nini kenge nyie.
Yani team zote ni mboovuu....Ukifuatilia msimamo ulivyo katika Kundi D utakubaliana na mimi kuwa Simba SC ndiyo itakayokuwa ya kwanza kutinga hatua ya robo fainali katika kundi lake.
Katika kundi hili Simba na Asec Mimosas ndizo timu zitakazokuwa na michezo miwili nyumbani na mchezo mmoja ugenini katika mzunguko wa pili.
Rs Berkane na US Gendarmaree watakuwa na michezo miwili ugenini na mchezo mmoja nyumbani.
Ni hivi ; kama kila mmoja atashinda mechi zake za nyumbani, Simba mwenye pointi 4 + 6 atakuwa na point 10. Asec Mimosas mwenye point 3 +6 atakuwa na pointi 9.
Rs Berkane mwenye pointi 6 + 3 atakuwa na pointi 9. Us Gendarmaree mwenye pointi 4 + 3 atakuwa na pointi 7.
Hivyo, Simba ana nafasi kubwa ya kutinga robo fainali kama atashinda mechi zake za nyumbani zilizobaki. Na hapo utagundua kwamba, sare aliyoipata dhidi ya Gendarmaree ugenini ilikuwa na maana kubwa zaidi.
Tahadhari, unaweza kupigwa hata ukiwa nyumbani.
View attachment 2134732
Timu Ya Wazee Almost 85%.Simba wawe makini sana, mpira wanaocheza siku hizi ni wa hovyo kupita maelezo.
Hilo neno "Lazima" umewaza nini? kama wewe ume weza kupata draw away wenzako wasiweze? mwenye uwezo ata enda quarter final tusubiri mda utaongeaUkifuatilia msimamo ulivyo katika Kundi D utakubaliana na mimi kuwa Simba SC ndiyo itakayokuwa ya kwanza kutinga hatua ya robo fainali katika kundi lake.
Katika kundi hili Simba na Asec Mimosas ndizo timu zitakazokuwa na michezo miwili nyumbani na mchezo mmoja ugenini katika mzunguko wa pili.
Rs Berkane na US Gendarmaree watakuwa na michezo miwili ugenini na mchezo mmoja nyumbani.
Ni hivi ; kama kila mmoja atashinda mechi zake za nyumbani, Simba mwenye pointi 4 + 6 atakuwa na point 10. Asec Mimosas mwenye point 3 +6 atakuwa na pointi 9.
Rs Berkane mwenye pointi 6 + 3 atakuwa na pointi 9. Us Gendarmaree mwenye pointi 4 + 3 atakuwa na pointi 7.
Hivyo, Simba ana nafasi kubwa ya kutinga robo fainali kama atashinda mechi zake za nyumbani zilizobaki. Na hapo utagundua kwamba, sare aliyoipata dhidi ya Gendarmaree ugenini ilikuwa na maana kubwa zaidi.
Tahadhari, unaweza kupigwa hata ukiwa nyumbani.
View attachment 2134732
Al Ahl kapigwa kwake na ubabe wake wewe ni nani?Suala la kushinda match zote za nyumbani kwa simba ni kawaida na tutafanya hivyo.. asiyetaka shauri yake
Mkuu , amini usiamini hilo nenoHilo neno "Lazima" umewaza nini? kama wewe ume weza kupata draw away wenzako wasiweze? mwenye uwezo ata enda quarter final tusubiri mda utaongea
Tuombe uzima inawezekana sababu mpira una maajabu yakeMkuu , amini usiamini hilo neno
"Lazima" litatimia.
km hujui hesabu za mpira utasema ni uganga.Kwa hiyo mganga wenu ndio kawaambia mtashindaga tu nyumbani always, Galaxy waliwafanyaga nini kenge nyie.
Wenye viwango wanacheza kombe gani kimataifa?Usiseme ni lazima Simba hii Haina kiwango Chochote Cha kutisha. Kikubwa mupambane uwanjani sio porojo midomoni mtaangukia pua
Toka kule ww,, mngekuwa wazuri msingecheza hizi match za michecheto na mnaambulia kufungwa tu.. wanaume wako Club Bingwa kisoda wewe..Wenye viwango wanacheza kombe gani kimataifa?
Wapumbavu km ww wanapatikana Tz tu. Simba inacheza mashindano ambayo ww yalikushinda Lin bado unajinasibu ww ni bora. Upumbavu wa hali ya juu sana.
Ipeni simba heshima yake.
Nataka nikwambie Yanga unayoiona leo , mwakani itashiriki Kimataifa na itatolewa kwa mechi 2 tu. Hii Ni timu ya kuwafunga Geita, Mbeya kwanza na Mbuni FC. Hakuna timu pale ya kufurukuta kimataifa.
Tuweke akiba ya maneno.
Wewe unaenda manungu mwenzako anaenda Morocco, huoni tofauti?Toka kule ww,, mngekuwa wazuri msingecheza hizi match za michecheto na mnaambulia kufungwa tu.. wanaume wako Club Bingwa kisoda wewe..
Sasa mwaka huu wanaume tumerudi kwenye form na tunachukuwa vikombe vyote.
Nyie ni Makolos tu kama Makolos wengine
Sasa mashabiki wanachukuaje ubingwa wewe utopolo?Mashabiki wa Mikia hongereni Sana kwa kuchukuwa ubingwa wa Ligi kuu mwaka wa 5 mfululizo..