Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna “100% certainty” hapo.
Hujaelewa!!
akivaa hizo ulizotaja hataogopwaa. mshamba huyu kuna nchi yenye nguvu za kijeshi kama USA? Mlishaona raisi wa huko akivaa hayo madude? huyu anavaa ili awatishe anaowaongozaView attachment 1267903
iko wazi kwamba yeye ndiye kiongozi wa juu kabisa wa majeshi yote nchini.
Swali langu ni dogo tu , ni lini Mheshimiwa atavaa sare za polisi ili kuonyesha kuunga mkono juhudi zao za kupambana na uhalifu au ni lazima avae za JWTZ tu kama ambavyo ameonekana mara kadhaa?
Naomba kuwasilisha.
====
Maoni ya Wadau
Raia /uraia
Raia /uraia
Hivi kuna raia bwege siku hizi wa kutishika na gwanda za jeshi ? wanajeshi kibao wanakimbizwa huko mitaani wakiwa ndani ya magwanda !akivaa hizo ulizotaja hataogopwaa. mshamba huyu kuna nchi yenye nguvu za kijeshi kama USA? Mlishaona raisi wa huko akivaa hayo madude? huyu anavaa ili awatishe anaowaongoza
Kama unamkumbuka Nyerere kuvaa kwenye kupindi cha Vita ya Iddi, uko sawaMagufuli ni bonge la mshamba, bonge la limbukeni, bado analimbuka mpaka kesho.
Ni kama mtoto umemnunulia nguo ya kuvaa sikukuu, yeye anataka aivae kila siku watu wamuone ana nguo mpya.
Nyerere nimemuona kavaa nguo za kijeshi kwenye harakati za Vita Vya Kagera tu.
Mwinyi sijamuona, Mkapa sijamuona. Kikwete ambaye alikuwa mwanajeshi na anaelewa "Civilian Leadership of The Military", kwa sababu ilimpa uchaguzi wa kuchagua jeshi ama siasa, sikumbuki kumuona kavaa magwanda ya kijeshi kama rais. Anajua walivyoondoka jeshini yeye, kina Makamba, Chiligati, marehemu Ditopile, na wengine wengi, ili wabaki kwenye siasa.
Magufuli limbukeni hajui au hajali hayo.
Ni certainty percent ngapi bwashee!?
Pull it outta thin air
Vita ya uchumi unatumia bunduki?Kama unamkumbuka Nyerere kuvaa kwenye kupindi cha Vita ya Iddi, uko sawa
Sasa hii vita ya Kiuchumi huoni pia umuone rais amevaa ?
Hakuna 0 wala 100.
Bwashee unanipa asymptotic boundaries!
Figure ya hapo in between huwezi toa maana itakua umegeuka prophet ile proper!