chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Avae tu mkuu,yote ni majeshiAkivaa zile za traffic mtasema Rais anadhalilisha hadhi yake
Watanzania hamna jema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Avae tu mkuu,yote ni majeshiAkivaa zile za traffic mtasema Rais anadhalilisha hadhi yake
Watanzania hamna jema
Mkuuu umewastukia!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Avae hayo magwanda ili iweje? Mpate sababu mpya za kumnanga au?
Manake si kwamba akivaa sare za Magereza mtakuja hapa na kuanza kumpongeza....
Sanasana mtakuja na kuendeleza yale yale...’oh oneni huyu, sasa anavaa na sare za Magereza. Kaona zile za jeshi hazitoshi. Sasa anataka kuwa kamishna wa Magereza’
Tokeni hapa na unafiki wenu!
Umeandika wakati umezimia au?,kwahiyo hata inchi nyengine wakivaa hayo magwanda wanawakilsha,jkt,magereza na polisi?
Hatakiwi kuvaa sare za kijeshi coz he is a civilian leader and not a military leader , hiyo ya amiri jeshi mkuu inaingia tu kama subtitle but main title Ni civilian leaderAvae hayo magwanda ili iweje? Mpate sababu mpya za kumnanga au?
Manake si kwamba akivaa sare za Magereza mtakuja hapa na kuanza kumpongeza....
Sanasana mtakuja na kuendeleza yale yale...’oh oneni huyu, sasa anavaa na sare za Magereza. Kaona zile za jeshi hazitoshi. Sasa anataka kuwa kamishna wa Magereza’
Tokeni hapa na unafiki wenu!
Kuna siku atampiga mtu risasi. Anapenda sana mabavuView attachment 1267903
iko wazi kwamba yeye ndiye kiongozi wa juu kabisa wa majeshi yote nchini.
Swali langu ni dogo tu , ni lini Mheshimiwa atavaa sare za polisi ili kuonyesha kuunga mkono juhudi zao za kupambana na uhalifu au ni lazima avae za JWTZ tu kama ambavyo ameonekana mara kadhaa?
Naomba kuwasilisha.
====
Maoni ya Wadau
Aiseee ,, inawezekanaKuna siku atampiga mtu risasi. Anapenda sana mabavu
Cheo kimempata mshambaKomredi, long time no see! Uko poa?
Hapana. Asiendelee kuvaa hayo ya JW. Maana sasa kazidi. Kwa mfano, hiyo jana aliyavaa kwa kusudi gani? Manake hapo kwa video inaonekana shughuli ilikuwa ni ya kiraia.
Kwenye shughuli labda zilizo za kijeshi na ambazo labda zinafanyika porini porini huko kwenye makambi ya kijeshi, kama Ngerengere, akivaa magwanda naweza kuelewa. Dressing for the occasion.
Sasa pata picha siku akivaa magwanda ya Magereza au Polisi.
Like...seriously? Si atakuwa amewapa watu fimbo ya kumsulubia?
Ila dizaini za Magufuli wala huwa hazijali. Zikiona kuna kitu baadhi ya watu hawakipendi basi ndo zinazidisha sasa ili watu wazidi kukereka.
Si unaona kwa Makonda..
Hapo si ajabu Magu anamwacha tu jamaa ili kukera watu.
Na hayo magwanda si ajabu kayavaa kwa makusudi tu ili kuwakera wanaokereka.
Kama ushamsoma vizuri, Magu ana makusudi sana. Na usikute yupo humu anatusoma vizuri sana.
Ila walau apunguze kuvaa vaa hayo magwanda.
Haipendezi Rais wa kiraia kuyavaa vaa tu hata pasipohusika.
Mshaurini aache ushamba. Ajifunze kwa waliomtangulia. natamani mwaka 2025 uje haraka kabla Tanzania haijawa historia.Eti hili nalo ni hoja ya kisiasa kwa wafuasi was chadema ambao hawajui hata naana ya vazi la jeshi la ulinzi na usalama (_jw tz),
Mkuu tambua rais anapovaa sare za jw ambayo ina rangi za ugoro =jenzi la magereza ,kaki = jeshi la polisi ,kuna kijani ,ambapo kuna jkt nk.akivaa hivyo basi tambua amevaa sare za majeshi yote ,yaani yeye ni amiri jeshi mkuu wa majeshi yote yaliyo inchini ,so akivaa eidha ugoro tu ambayo ni sare ya magereza itakuwa hajafuata protocalli
Magufuli hashauriwi na washauri wake, yeye ndiye anawashauri.
Walianza kumshauri wachache, watu wakaona huyu Magufuli ukimshauri tofauti na anavyotaka yeye, anakutoa kazini, anamuweka mwingine.
Kama alivyofanyiwa CAG Assad. Kama alivyofanyiwa Lawrence Mafuru. Kama walivyofanyiwa wataalamu wengi tu.
Sasa washauri ambao wanataka kazi zao wameamua kumuacha tu.
Nyani Ngabu,
Niko komredi...
Nilikuwa kwenye mchakato wa kumwingiza Kasie kwenye 18. Haikuwa kazi rahisi. Nililazimika kuingia msituni na magwanda ya JKT....
Tukirudi kwa Bwana huyu, pamoja na katabia kake ka kupenda kukera watu, pia ana katabia ka ubabeubabe..
Sio ajabu kuvaa magwanda isiwe kwa nia ya kukera watu bali kuwapa taarifa wapinzani wake kuwa yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu... anaweza kuwafanya chochote akiamua.
Duuh kweli wewe ndo unawashwa vibaya Bora hata wenzako!!View attachment 1267903
iko wazi kwamba yeye ndiye kiongozi wa juu kabisa wa majeshi yote nchini.
Swali langu ni dogo tu , ni lini Mheshimiwa atavaa sare za polisi ili kuonyesha kuunga mkono juhudi zao za kupambana na uhalifu au ni lazima avae za JWTZ tu kama ambavyo ameonekana mara kadhaa?
Naomba kuwasilisha.
====
Maoni ya Wadau
Ipo hivi JPM anapo vaa vazi la JW siyo kwamba analipendelea sana hilo jeshi na vikosi vingine kavibeza, hapana,.View attachment 1267903
iko wazi kwamba yeye ndiye kiongozi wa juu kabisa wa majeshi yote nchini.
Swali langu ni dogo tu , ni lini Mheshimiwa atavaa sare za polisi ili kuonyesha kuunga mkono juhudi zao za kupambana na uhalifu au ni lazima avae za JWTZ tu kama ambavyo ameonekana mara kadhaa?
Naomba kuwasilisha.
====
Maoni ya Wadau
Unapobanwa na mharo ni bora ukimbie chooni fasta usije ukajiharishia..
Fool
SawasawaWe ndo umezimia,kuna sehemu nimesema nchi nyingine,au magufuli ni rais was nchi nyingine? Elewa hoja ndugu,acha kukimbilia kupinga
Avae hayo magwanda ili iweje? Mpate sababu mpya za kumnanga au?
Manake si kwamba akivaa sare za Magereza mtakuja hapa na kuanza kumpongeza....
Sanasana mtakuja na kuendeleza yale yale...’oh oneni huyu, sasa anavaa na sare za Magereza. Kaona zile za jeshi hazitoshi. Sasa anataka kuwa kamishna wa Magereza’
Tokeni hapa na unafiki wenu!
Bwashee naona umekua prophet
Unaongelea matukio ambayo hayajatokea with 100% certainty!
Ni haki yako lakini,bwaga maoni bwashee!