Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama uelewa ndo huu basi bora nibaki mjingaMkifuatwa mkashughulikiwa ndugu zako watakuja hapa kuanzisha thread.
Mkishiba huku mko huru mnahara utumbo tu kwenye media.
Kuvaa jezi yoyote kwa rais kuna impact gani katika maendeleo.
Au hata siasa,maybe anapenda tu mavazi hayo.mbona mi ninayo kuanzia kapelo mpaka kiatu sijawahi hata kuwaza kumzulu mtu.
Hayo ni mavazi tu
Safi sana..Mwinyi, Mkapa na Kikwete waliogopa kuvaa hiviAmiri jeshi mkuu kuvaa nguo za jeshi nayo ni nongwa? yaani mnataka Amiri Jeshi Mkuu avae nguo za raia wakakamavu kweli? halafu za jeshi nani azivae? Amiri jeshi Mkuu atavaa gwanda muda wowote anayotaka na hakuna wa kumpangia na jinsi mnavyokereka ndio mnaharibu kabsa
Hoja za uchaguzi wa serikali za mitaa zimeisha
Nyerere alipenda kuvaa mgambo,Rais halazimishwi kuvaa sare ya jeshi lolote,tufanye kazi jamani
Strange Case of Dr. Jekyll and Mr. Hyde Theme of Good vs. Evil. Good vs. evil is basically the novel's biggest theme. More specifically, Dr. Jekyll and Mr. Hyde is easily viewed as an allegory about the good and evil that exist in all men, and about our struggle with these two sides of the human personality.
Nyani Ngabu,
Niko komredi...
Nilikuwa kwenye mchakato wa kumwingiza Kasie kwenye 18. Haikuwa kazi rahisi. Nililazimika kuingia msituni na magwanda ya JKT....
Mguu sawa!!!Babu Big Sam mtamuuu mmuah!!, hii hali ya hewa ya leo jiandae mapemaaa usijicheleweshe hataa sekunde.
Nachemsha supu ya Sato hapa, ndani ya nusu saa itakuwa tayari. Ningefurahi kama ungeinywa ikiwa ya motooo...
Karibu Sam Orijinale mwenyeweee upate madikodiko Matata..... mmmuuuahhh!!!
Matata the K.
Jwtz ndiyo wenye ndege za kivita vifaru kila aina ya Siraha hata mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ni CDF ndiye mwenyekiti wa bodi ya ulinzi, hiyo hiyo sare moja inatosha kuwakilisha vyombo vyote vya Dola kwani vipo chini yake, kumbuka magufuli ndiye Rais pekee toka ccm anayelipenda jeshi la polisi kupita Maelezo anawapenda hakuna mfano, hata wao wanajua kuwa wanapendwa Sana ingawa sare yao havai.View attachment 1267903
iko wazi kwamba yeye ndiye kiongozi wa juu kabisa wa majeshi yote nchini.
Swali langu ni dogo tu , ni lini Mheshimiwa atavaa sare za polisi ili kuonyesha kuunga mkono juhudi zao za kupambana na uhalifu au ni lazima avae za JWTZ tu kama ambavyo ameonekana mara kadhaa?
Naomba kuwasilisha.
Kuvaa sare siyo Tatizo hata uhuru kenyata huvaa hizo sare, kibaya ni kuwaonea upinzani hususani chadema, huu udikiteta ndiyo kero kubwa kwa sasa,Safi sana..Mwinyi, Mkapa na Kikwete waliogopa kuvaa hivi
Nyani Ngabu,
Binafsi sioni shida. Ukiangalia anapoyavaa na jinsi anavyo interact na raia kwenye shughuli za kiraia anakuwa kama analisogeza jeshi kwa wananchi na kuwapa wananchi confidence kuwa wanajeshi si wa kuogopwa bali wa kuungwa mkono.
Sema zile kauli zake za "watakiona cha moto, tia ndani, ole wao" huku akiwa ndani ya combat huishia kuharibu dhamira nzuri yote.
Unapobanwa na mharo ni bora ukimbie chooni fasta usije ukajiharishia..hata kulieza suala hilo imebidi utumie lugha ngeni, kwa sababu ni dhana ngeni kwetu
civilian leadership ndio nini
na civilian ni nini?
Mguu sawa!!!
On my way.
View attachment 1268089
Afu tutoke hapa huu uzi umekaa kichochezichochezi ujue... hauendani na yale mambo yetu baada ya kugida K Vant na Amarula.
Fanya uchunguzi waliopiga bilioni 40 za Korosho ni akina nani...Ni kweli maana gwanda hutisha wabadhirifu, wahalifu na mafisadi. Hao watanzania unaotaja ni kina nani? Maana unajumuisha wote kuwa wanatishika, kweli? Acheni uhuni jamaa kawakamata. Nyerere mwenyewe unayemnukuu kavaa magwanda sana.