Ni lini Amiri Jeshi Mkuu atavaa sare za Askari Polisi au Magereza?

Ni lini Amiri Jeshi Mkuu atavaa sare za Askari Polisi au Magereza?

Kiranga,

Hata wajeda wenyewe huwa wana mavazi tofauti tofauti kwa ajili ya shughuli tofauti tofauti!

Wana zile sare za mashati ya vitambaa vyepesi na slacks zao ambazo huzivaa na dress shoes/ oxfords.

Wana hayo ma fatigues.

Pia wana tisheti zao ambazo huzivaa na suruali za fatigues.

Kuna sababu zake kuwa na hizo sare tofauti tofauti.

Sasa jamaa yeye huwa anatinga tu hayo ma fatigues bila hata kujali mazingira.

Sijui huwa anajiona komandoo akiwa kayavaa hayo????
 
wabongo bwana mnanongwa hata angevaa mavazi gani mtasema tu kwanini hajavaa mavazi haya. Acheni unafiki na kuleta mada zisizo kuwa na msingi
 
Nyani Ngabu,
Nn hivi unakomaza misuli ya vidole kisa nn lkn? Hebu tuache bhanaaa kwanza akivaa afu akasema hivi
Screenshot_20191121-071001.png
 
View attachment 1267903

iko wazi kwamba yeye ndiye kiongozi wa juu kabisa wa majeshi yote nchini.

Swali langu ni dogo tu , ni lini Mheshimiwa atavaa sare za polisi ili kuonyesha kuunga mkono juhudi zao za kupambana na uhalifu au ni lazima avae za JWTZ tu kama ambavyo ameonekana mara kadhaa?

Naomba kuwasilisha.
Police, magereza, uhamiaji, zima moto siyo majeshi ni idara tu za mambo ya ndani. ingawa watu hawaelewi hilo maana kila aliye na uniform na tepe au nyota basi linakuwa jeshi. jeshi siyo kwa tafsiri ya MILITARY . Military ni JWTZ KITUO. Hivyo hawezi na hutaona mkuu wa nchi yoyote duniani kavaa hizo uniform za hawa majamaa wa mamabo ya ndani!!
 
Angekuwa yuko Monduli, Ngerengere huko, au kule Kunduchi, ningeelewa.

Ila hapo alipo? WTF!’
Ngabu aka mzee Wa new york
Ilisikiaga kauli ya JWTZ lakini waliyoitoaga
Kuhusu Rais kuvaa vazi la kijedah!

Ova
 
Rais wa wanainchi na amiri jeshi mkuu. Ikuwepo jwtz(inayowakulisha wanainchi wa Tanzania)
Hao wengine hawezi kuvaaa!
 
Unaonaje?
huyu raisi mizaha imemkolea sana !!! washauri wake wamwambie apunguze!! mizaha hata nyerere alikuwa nayo lakini si maka hiii!! Dr Magu punguza mizaha Ngosha!! bhebhe!!!!
 
Hii inanikumbusha kisa cha kitabu kinachohusu mtu anayeshimika miongoni mwa jamii inayomzunguka ya waungwana na wasomi waliotukuka lakini 'mwenye pande' mbili ya Dr. Jerkyll and Mr. Hyde.

Muhusika ktk kitabu chenye jina 'Dr. Jerkyll na Mr. Hyde' ni mtu huyo huyo mmoja. Lakini kutokana na utafiti wa kisayansi anaoufanya kuna muda anaonekana kama Dr. Jerkyll mtafiti aliyebobea lakini akinywa kikombe cha madawa ya utafiti huonekana Mr. Hyde ktk pande nyingine za mitaa ya mji huohuo.

Moja ya utafiti hatari alioufanya Dr. huyu ni kufuta mikutano ya kisiasa huku akihimiza 'kampeni' za kisiasa zifanyike, vyama kuweka wagombea na ku-test taratibu za uteuzi wa 'kidemokrasia' wa wagombea wa uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Nov 24, 2019. Ktk maabara yake Dr. huyu husaidiwa na wanaCCM viongozi wakubwa kaliba kama za PolePole , Mh sana Jafo n.k na wamekula yamini ya kutunza siri ya aina hii hatari ya uchujaji wagombea ktk maabara ya Dr. Jerkyll.

Kingine Dr. Jerkyll na Mr. Hyde wote wanaonekana kama watu wawili waishio ktk nyumba mtaa mmoja na anuani moja. Hili linazidi kuwatatiza watu walio karibu naye wanaomfuatilia ikiwemo jamii (forums), majirani, wale wadau wa maendeleo na marafiki zake (CCM asilia).

Ili Dr. Jerkyll kuendelea na drama hizi za kujitofautisha na Mr. Hyde, Dr. Hyde wakati mwingine inabidi ajitenge na marafiki zake ili aweze kuendelea kuonekana ktk nafasi ya upili ya mtu tofauti ingawa ni mtu yuleyule.

Turudi ktk maswali ya wanaJamiiForums wanaomfuatilia Mh. Rais kuhusu muonekano wake wa Rais raia lakini wakati mwingine anaonekana ni Rais mwanajeshi ingawa ni mheshimiwa yuleyule tunayemfahamu kama aliwahi kuwa mbunge na waziri aliyetoka uraiani inakuwaje sasa mara nyingi anajitokeza kama 'mwanajesh'.

Hii inaweza kuashiria nyumba hii mtaa ule ule na anuani ileile 'Tanzania' anayoishi raia huyu na wakati mwingine mwanajeshi huyu huyu kuwa haridhiki na inavyoendeshwa nchi hii kwa mfumo wa kiraia wa kidemokrasia ya vyama vingi yenye mihimili ya Bunge, Mahakama na Serikali Kuu. Muhusika anataka nchi iwe ya mfumo wa 'kijeshi' bila kelele za Bunge wala utawala wa kuzingatia sheria zitakazo kaziwa na Mahakama.

Tunaona maamuzi ya papo kwa hapo ya kisheria awapo njiani kutatua 'kero' za wananchi iwe za kisheria au kugawa fungu la fedha bila kuhusisha mihimili kama katiba ya nchi inavyotamka.

Na kama ilivyo ktk kitabu cha Dr. Jerkyll and Mr. Hyde inayomhusu mtu mwenye nafsi mbili lakini mtu yuleyule, maamuzi ya upande mmoja yaani ya 'kijeshi' yanazidi kumuelemea na ile dhana ya uraia inazidi kumpotea.

Hatujui hali hii ya kuegemea upande wa nafsi ya 'kijeshi' itatatupeleka wapi kama nchi. Maswali mengi hapa JamiiForums kuhusu hii dhana ya nafsi ya upili ya Dr. Jerkyll and Mr. Hyde itajibiwa na muda tu kuelekea 2020 , 2025 na kuendelea.
Strange Case of Dr. Jekyll and Mr. Hyde Theme of Good vs. Evil. Good vs. evil is basically the novel's biggest theme. More specifically, Dr. Jekyll and Mr. Hyde is easily viewed as an allegory about the good and evil that exist in all men, and about our struggle with these two sides of the human personality.
 
Mwenzio kafutiwa uzi uliofikisha pages 32 kwa picha hii.

Wakati Maxenxe anapewa tuzo New York kwa sababu ya JF kusimamia ukweli na uwazi katika habari.
Ule uzi si umehamishiwa huku?
Anyways kuna vitu tulifunguka so kama wameufungia hawataki tuviseme
 
Eti hili nalo ni hoja ya kisiasa kwa wafuasi was chadema ambao hawajui hata naana ya vazi la jeshi la ulinzi na usalama (_jw tz),

Mkuu tambua rais anapovaa sare za jw ambayo ina rangi za ugoro =jenzi la magereza ,kaki = jeshi la polisi ,kuna kijani ,ambapo kuna jkt nk.akivaa hivyo basi tambua amevaa sare za majeshi yote ,yaani yeye ni amiri jeshi mkuu wa majeshi yote yaliyo inchini ,so akivaa eidha ugoro tu ambayo ni sare ya magereza itakuwa hajafuata protocalli
na amagereza au polisi siyo MILITARY ni idara tu za mambo ya ndani
 
Back
Top Bottom