Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Magufuli hata ununuzi wa korosho anapeleka jeshi.Angekuwa yuko Monduli, Ngerengere huko, au kule Kunduchi, ningeelewa.
Ila hapo alipo? WTF!’
Ni kama a one trick pony asiye na ujuzi mwingine wowote zaidi ya kutumia turufu ya nguvu/vitisho/jeshi.
Mpaka kwenye mavazi.
Ndiyo maana anashindwa siasa za ushindani anaishia kununua wapinzani ambao hata kumshinda wangekuwa na kazi ngumu.
Jamaa yuko underconfident kichizi.
Anatumia hayo magwanda ku boost confidence yake.