Ni lini Amiri Jeshi Mkuu atavaa sare za Askari Polisi au Magereza?

Ni lini Amiri Jeshi Mkuu atavaa sare za Askari Polisi au Magereza?

Mwenzio kafutiwa uzi uliofikisha comments 32 kwa picha hii.

Wakati Maxence anapewa tuzo New York kwa sababu ya JF kusimamia ukweli na uwazi katika habari.
Aisee umenifanya kufikiri nje ya box.
Hivi kosa ni la mtu kuijadili statement aliyoitoa rais ama ni rais kutoa statement ambayo ni ya udhalilishaji kwa raia? Oòps hebu niendelee kunyonyesha manake kibali cha kufyatua tayari nlishapewa. Nimefyatua na next yr nafyatua tena
 
Wakati mwingine watu ni kama hua mnakosa kazi tu ya kufanya na kupoteza muda,yamkini wewe ni fisadi unaogopa, Rais kuvaa gwanda shida iko wapi,sisi tunajua ni Rais wetu huyu huyu wala hakuna shida yoyote,kweni nguo zina nini? mkija humu na kuanza kusema sema serikali mnajikuta mnapata zile comment nyingi za wasioelewa na mnaona ni kama sifa,miki hapa ni mwananchi hulu kama wanachi wengine na sioni shida ya Rais kuvaa gwanda
Kabisa mkuu..watu wanataka tu kupata likes mkuu..sawa mwananchi "hulu"
 
View attachment 1267903

iko wazi kwamba yeye ndiye kiongozi wa juu kabisa wa majeshi yote nchini.

Swali langu ni dogo tu , ni lini Mheshimiwa atavaa sare za polisi ili kuonyesha kuunga mkono juhudi zao za kupambana na uhalifu au ni lazima avae za JWTZ tu kama ambavyo ameonekana mara kadhaa?

Naomba kuwasilisha.
Kwani Jeshi la juu kabisa ni lipi, Au zima moto na JW wako sawa!
 
Aisee umenifanya kufikiri nje ya box.
Hivi kosa ni la mtu kuijadili statement aliyoitoa rais ama ni rais kutoa statement ambayo ni ya udhalilishaji kwa raia? Oòps hebu niendelee kunyonyesha manake kibali cha kufyatua tayari nlishapewa. Nimefyatua na next yr nafyatua tena

Heheheee....unmnyonyesha nani? Mumeo?

Hahahaaa natania tu bana. Nilikuwa najaribu kuwa Rais Magufuli 🤣
 
Mwenzio kafutiwa uzi uliofikisha comments 32 kwa picha hii.

Wakati Maxence anapewa tuzo New York kwa sababu ya JF kusimamia ukweli na uwazi katika habari.
Kiranga aka mtoto wa upanga
Mbona Kuna wakati jeshi Waliwahi kutoa tamko kuhusu hili la Rais kuvaa Mavazi ya kijeshi
Kuna kanali mmoja nlimskia anasema, RAIS ndiyo amiri jeshi mkuu, Mavazi yote yake, vyeo vyote vyake "akitaka hata Leo aombe abandikwe cheo cha ufield Marshall yeye tu"

Basi kwa kauli hiyo ya JWTZ Miki nkabaki mdogo tu

Ova
 
Hmmm hayo maneno kayasema kweli? Hususan hayo ya mwisho?

Isije kuwa kama Mzee Mugabe alivyokuwa anawekewa kila aina ya maneno mdomoni....
Hivi kweli NN itv wanaweza kumuekea manebo mdomoni? Infact i was so shocked why did they have to put it at first place? Wasinge hapa
 
Magu hawezi kurusha hata ngumi lakini naye anajifanya mwanajeshi!

Mara zote mtu anayependa kujiinua na kuwatisha watu kwa ishara yoyote ile, mtu huyo ni DHAIFU na MWOGA!

Jamaa anapenda kujificha kwenye mavazi ya jeshi lakini kimsingi ni mtu dhaifu sana!
 
Hmmm hayo maneno kayasema kweli? Hususan hayo ya mwisho?

Isije kuwa kama Mzee Mugabe alivyokuwa anawekewa kila aina ya maneno mdomoni....
NN hivi ITV wanaweza kweli kumuekea maneno mdomoni? Infact i was so shocked why did they have to quote him at first place? The statement has gone viral. But nimecheka sanaa. Na ka clip sijui nakaekaje lol
 
Erythrocyte,
NI Amiri jeshi na ndio maana anavaa nguo za kijeshi,kinyume cha hapo hata jina litabadilika...
 
Heheheee....unmnyonyesha nani? Mumeo?

Hahahaaa natania tu bana. Nilikuwa najaribu kuwa Rais Magufuli 🤣
Weee hivi ukae huko huko marekani usirudi bongo. Bongo marufuku kwa mwanaume kunyonya maziwa ya mtoto. Onyo lilishatolewa. Hivyo mume anaishi ndani ya onyo. Maziwa ni ya mtoto. Kwa mujibu wa katibu wa lishe Tanzania.

Mimi nanyonyesha child/ infant sio baby
 
Kiranga aka mtoto wa upanga
Mbona Kuna wakati jeshi Waliwahi kutoa tamko kuhusu hili la Rais kuvaa Mavazi ya kijeshi
Kuna kanali mmoja nlimskia anasema, RAIS ndiyo amiri jeshi mkuu, Mavazi yote yake, vyeo vyote vyake "akitaka hata Leo aombe abandikwe cheo cha ufield Marshall yeye tu"

Basi kwa kauli hiyo ya JWTZ Miki nkabaki mdogo tu

Ova
Hata akitaka kuvaa kibwaya cha Kibisa anaruhusiwa.

Hilo si ninalojadili mimi hapa.

Najadili mambo makubwa zaidi.

Je, muonekano unaonekanaje? Taswira gani inajengwa kwa nchi?

Kesho The Economist wataandika "Rais Magufuli anatamani angekuwa mtawala wa kijeshi, anatumia magwanda ya kijeshi hata kwenye safari za kusalimiana na watu tu".

Ndiyo taswira tunayotaka kujenga hiyo?

Rais wetu wa kwanza Nyerere alikuwa rais wa vita, aliongiza vita. Amiri Jeshi Mkuu wa Vita. Lakini nje ya kazi za vita sikumuona kuvaa nguo za jeshi.

Kwa nini?

Mwinyi hakushobokea nguo za jeshi.

Kwa nini?

Mkapa hakushobokea nguo za jeshi.

Kwa nini?

Kikwete ambaye ndiye rais pekee aliyekuwa mwanajeshi, hakushobokea nguo za jeshi.

Kwa nini?
 
Avae hayo magwanda ili iweje? Mpate sababu mpya za kumnanga au?

Manake si kwamba akivaa sare za Magereza mtakuja hapa na kuanza kumpongeza....

Sanasana mtakuja na kuendeleza yale yale...’oh oneni huyu, sasa anavaa na sare za Magereza. Kaona zile za jeshi hazitoshi. Sasa anataka kuwa kamishna wa Magereza’

Tokeni hapa na unafiki wenu!

Duh! umenivunja mbavu mkuu.nimecheka sana mzee wa Lumumba.

NB: Siwakubali kinoma nyie viumbe.
 
Jana kanivunja mbavu. Haya tumeambiwa tukalime tuache kulalamika unga bei kubwa.
Hspo najiuliza mshahara haujawah kupanda mwaka wa 4 sasa. Lkn bidhaa zinapanda. Hii ndio tz bhana. Acha sisi wengine tufyatue tuu hatuna jinsi.
 
Magufuli sio mshamba kama wenye akili finyu wanavodhani!!!jiwe anatuma ujumbe kwamba sasa jeshi ndo linalotawala sio raisi tena!atakaeleta kelele atashughulikiwa kijeshi na sio kiraia!yeyote atakaewaza kinyume na yeye atapotezwa kabisa!!!!KWANI WE TumainiEl Ben saanane mlimshughulikia kiraia?si kijasusi,kigaidi,kihaini???ndo mana kichwa chake kikawa halali yenu??Kabla hujashauri kuhusu gwanda ungeshauri kuhusu teka teka,viroba roba ufukweni,kesi kesi kwa wapinzani,ua ua na potea potea!!NDUGU USIWE MNAFIKI!!!MMEPANDA HII MBEGU WENYEWE MBONA UNALIA????
 
Kama ni suala la kikatiba tufafanulie mkuu , kuuliza ni kutaka kujua tu .
Jeshi la wananchi wa Tanzania ndio Jeshi mama la nchi hii na majeshi yote uliyoyataja yanawajibika kwa JWTZ ambalo, Amiri Jeshi wake mkuu kwa sasa ni Rais aliyeko madarakani. Rais John Pombe Magufuli kuvaa sare za kijeshi kwa nafasi yake ni sahihi kabisa... Labda kama una agenda nyingine.
 
Back
Top Bottom