Ni lini Amiri Jeshi Mkuu atavaa sare za Askari Polisi au Magereza?

Naona ana anza kujielekeza kwa ROLE MODEL wake, marehemu Mzee Amin wa Uganda.
 
akivaa hizo ulizotaja hataogopwaa. mshamba huyu kuna nchi yenye nguvu za kijeshi kama USA? Mlishaona raisi wa huko akivaa hayo madude? huyu anavaa ili awatishe anaowaongoza
 
Raia /uraia

nilidhani raia ni citizen

lakini kama maana zake ni sawa kati ya citizen na civilian, basi tunaweza kusema nchi hii ni ya "citizen leadership of the military..." au??
 
akivaa hizo ulizotaja hataogopwaa. mshamba huyu kuna nchi yenye nguvu za kijeshi kama USA? Mlishaona raisi wa huko akivaa hayo madude? huyu anavaa ili awatishe anaowaongoza
Hivi kuna raia bwege siku hizi wa kutishika na gwanda za jeshi ? wanajeshi kibao wanakimbizwa huko mitaani wakiwa ndani ya magwanda !
 
Kama unamkumbuka Nyerere kuvaa kwenye kupindi cha Vita ya Iddi, uko sawa
Sasa hii vita ya Kiuchumi huoni pia umuone rais amevaa ?
 
Mbona hujiulizi kwanini parade zote za kitaifa hakagui parade akiwa na IGP ilihali polisi pia wapo kwenye parade??
 
Tafuta video moja alipokuwa anazindua ofisi ya RC Dodoma, tazama wale wakuu wa majeshi walivyopangana pale mbele ya jengo utajifunza kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…