babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Mkifuatwa mkashughulikiwa ndugu zako watakuja hapa kuanzisha thread.Kama ni suala la kikatiba tufafanulie mkuu , kuuliza ni kutaka kujua tu .
Dah... nimekumbuka story ya Bwana Museveni wa Uganda... Huyu bwana inasemekanna alikuwa na washauri 27 lakini yeye ndio alikuwa akiwashauri washauri wake!Magufuli hashauriwi na washauri wake, yeye ndiye anawashauri.
Walianza kumshauri wachache, watu wakaona huyu Magufuli ukimshauri tofauti na anavyotaka yeye, anakutoa kazini, anamuweka mwingine.
Kama alivyofanyiwa CAG Assad. Kama alivyofanyiwa Lawrence Mafuru. Kama walivyofanyiwa wataalamu wengi tu.
Sasa washauri ambao wanataka kazi zao wameamua kumuacha tu.
Mada hii ni kiashiria cha mwanzo wa mwisho wa hoja constructive..tafuteni kazi nyingineView attachment 1267903
iko wazi kwamba yeye ndiye kiongozi wa Juu kabisa wa Majeshi yote nchini .
Swali langu ni dogo tu , ni lini mheshimiwa atavaa sare za polisi ili kuonyesha kuunga mkono juhudi zao za kupambana na uhalifu au ni lazima avae za JWTZ tu kama ambavyo ameonekana mara kadhaa ?
Naomba kuwasilisha
Tanzania dhana ya "Civilian Leadership of The Military" kueleweka vizuri ni vigumu sana.
Museveni alikuwa anakodi teksi inamrudisha mpaka nyumbani kwake Upanga, halafu akifika anamsomesha dereva teksi hamlipi.Dah... nimekumbuka story ya Bwana Museveni wa Uganda... Huyu bwana inasemekanna alikuwa na washauri 27 lakini yeye ndio alikuwa akiwashauri washauri wake!
Aisee... basi tumeula wa chuya.Museveni alikuwa anakodi teksi inamrudisha mpaka nyumbaninkwake Upanga, halafu akifika anamsomesha dereva teksi hamlipi.
Mpaka alivyoondoka Tanzania katika apartment aliyopewa na Ikulu kaacha bill kubwa sana ya maji na umeme.
Yani yeye ni mtu wa kujiweka juu tu, huwezi kumwambia kitu.
Ndiko tulipo sasa hivi kwa Mkulu wetu.
Mkuu hii hoja itumieni ipasavyo kama mtaji wa kura kwa wananchi 2020.View attachment 1267903
iko wazi kwamba yeye ndiye kiongozi wa Juu kabisa wa Majeshi yote nchini .
Swali langu ni dogo tu , ni lini mheshimiwa atavaa sare za polisi ili kuonyesha kuunga mkono juhudi zao za kupambana na uhalifu au ni lazima avae za JWTZ tu kama ambavyo ameonekana mara kadhaa ?
Naomba kuwasilisha
Source please
Unafahamu "Civilian Control of The Military" ni kitu gani?Kumbuka Rais ni Amiri jeshi..kosa likowapi akivaa nguo za jeshi? Au kila anachokifanya Magu ni kibaya? Tuelimike kidogo
Nadhani mada yako ungeiwasilisha kama ombi,
"Naomba amiri jeshi kuu siku moja avae sare za jeshi la polisi/magereza/traffic/zimamoto/ffu/mgambo, nione jinsi zinavyomkaa vema...."
Lmao[emoji23][emoji23]