Ni lini CCM watajua kuwa upinzani umemalizana na Magufuli?

Nachowapendea CCM wanamtetea hadi marehemu, na kwa mapenzi yao sijasikia hata moja aliyeamua kufa nae.
 

Tunachosema ni kwamba watanzania walimuelewa JPM.Kwamba kumbe yale yote aliyowafanyia ndicho kilikuwa kipaumbele cha walio wengi.Wao Katiba mpya na maandamano siyo kipaumbele chao kwa sasa.
 
Nyomi imewaumbua
 
Hata mimi nimekuwa nikiwaza kama wewe.....
 
Inawezekana ww hata kuiongoza familia yako imekushinda na hutakuja kuweza maana ni mpumbafu! Ndio maana huwezi hata kuelewa 'bond' iliyopo kati ya Magufuli na watanzania! Ondoka uende Zenji, au Mza, au Geita wakati wakiaga nenda kawaulize!
Bondi ipi acha kudanganya watu
 
Wanachoniuzi hawa jamaa akina lema,ni kupinga pinga mpk kwenye msiba wao wanapinga tu. Ndio nimeona upinzani wa nchi hii hauna maana.
Kwani kupinga ni dhambi? We were not created to think equally na ndio maana hata idi amini dada wapo wanaompenda mpaka Leo.
 
Mlisema hivo hivo mwaka jana...... But hya yalijiri. Ssa kma unajiamini jisogeze hapo afu sema Lissu ni msaliti kma hujarudi kwenye sanduku!!
 
Wewe ni mgeni hapa nchini?
 
Wanaoendeleza vita na Hayati JPM ni wanachadema....

Kauli za usiwe kama Magu blah blah zina maanisha hamjamalizana nae...

Uzuri jamaa kapata communio ya mwisho, kaungama... kwa imani ya katoliki yuko heaven muda huu

Wanaomlaani wanapoteza energy zao bure...
 
Nothing is the number when you die...! Time will tell...!!! A tale to remember...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…