Ni lini CCM watajua kuwa upinzani umemalizana na Magufuli?

Soma tena walichoandika... hawakusema one time viewers....

Ngeli shida mkuu??
 
ahahahaa ciku ya kampeni ni clips zote za magu kwa kwenda mbele
Naye alifikiri atafika huko! Anza kuringishia
Mbona hawafuati maagizo ya Yahweh sasa!
 
Hakuna ngoja dawa iwaingie wapuuzi sana nyie! Eti ni dictator, hapendwi mfyuuuuu!
Subirini muone tunavyompenda mpaka wafanyakazi tunamlilia mpaka tunazima[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]!
Mwanamke huna akili kweli wewe.
 
Soma tena walichoandika... hawakusema one time viewers....

Ngeli shida mkuu??

Acha one time viewers, hata hilo tukio lingeonyeshwa mwaka mzima hakuna uwezekano wa kuangaliwa hata na watu 100m. Kama unajua kutumia mitandao vizuri, tazama kama yupo hata katika top100 views toka alipofariki. Nani ana muda wa kutazama mtu wa maporini?
 
Acha kujidanganya na kujipa moyo bure. Sasa magufuli alikua wa nani kama sio ccm. Nyomi la magufuli akiwa mfu ni la ccm. Kama hutambui hilo subiri 2025.
 
Idiot
 
Hater.....
 
Mbona hii vita ni nyie mlianza? Sasa mnajibiwa kwa mambo halisia mnaanza kujihami.

Magufuli ni kipenzi cha watu hata Kama kuna makosa aliyafanya.

Kati ya watu mil50, wanaomchukia ni kama elfu 50 tu
[emoji23][emoji23][emoji23]hv vichekeaho umetoa wapi mkuu
 
Mbona hii vita ni nyie mlianza? Sasa mnajibiwa kwa mambo halisia mnaanza kujihami.

Magufuli ni kipenzi cha watu hata Kama kuna makosa aliyafanya.

Kati ya watu mil50, wanaomchukia ni kama elfu 50 tu
Mwaga wedi nyule afuwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…