Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Kunaiyo moja mwana aliona watu wanapigwa tochi akakimbia, sijajua mshkaji alikimbia nini yule, alafu atarudi jf nakuanza kusema watoto wawakulima hawapiti bila mbanga, sasa we unataka nani asajili machoko
Itakua Exhaust mbovu huyo
 
Yaan hapa usaili kwenda tarehe hzi za karbu tusahau labda mpka madogo wa cadet wamalize usaili vikosin
Mambo haya jeshini hayawezi kuzuia Mambo mengine jeshini kuendelea.yaani usaili wa cadet uzuie Mambo mengine yasiendelee kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…