Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
kuna ile mishipa inaonekana uku nyuma ya mguu kwenye joint inatokezea ile nayo ikionekana tu siku iyo ushatolewaNi swala linaloweza mrudisha mtu ?
Duh ukiwa nayo means umekwivaa😂😂au ni Nini sasaAf
kuna ile mishipa inaonekana uku nyuma ya mguu kwenye joint inatokezea ile nayo ikionekana tu siku iyo ushatolewa
Iyo hufai kujiunga na jeshiDuh ukiwa nayo means umekwivaa😂😂au ni Nini sasa
Unfeet
Iyo hufai kujiunga na jeshi
AribuNiruhusu Niku pm kidgo
[emoji2]hivi vigezo sisi wembamba si tunapigwa aziwea asubuh tuUnfeet
Iyo hufai kujiunga na jeshi
na bhba[emoji2]hivi vigezo sisi wembamba si tunapigwa aziwea asubuh tu
Mwanya je 😂Msisahau mikono kama imenyooka vzurii, meno yawepo yote kama moja lishatoka kivumbiiii.. mambupu yawe na peke mbili hahah ikiwa moja Unfit kuna watu bawasiri wanayo nao pembeni.. wanahitajika watu walionyooka...
HaiusikMwanya je 😂
Dah!! Acha tu mzee.Msisahau mikono kama imenyooka vzurii, meno yawepo yote kama moja lishatoka kivumbiiii.. mambupu yawe na peke mbili hahah ikiwa moja Unfit kuna watu bawasiri wanayo nao pembeni.. wanahitajika watu walionyooka...
Hii bawasiri shenzi sana ata sisi intake yetu wengiii ilitukuta tukiwa katka ujenzi wana kibao walitolewa Unfit ila kuna mchiz alitumia dawa moja ya kienyeji ikakaa sawaDah!! Acha tu mzee.
Bawasiri ilimrudisha mwanangu mtaani katika Bogi lililopita.
Jamaa alitumia kila dawa ili apone lakini ndio vile..
Inaumiza sana ukapata nafasi then ukarudi mtaani kisa unfit.
Uyu jamaa atakua na ronja mwaka Jana alisema hakuna ,,,Amna yeyote aliemuamini na kweli kukawa hakuna koziHawatoi
Acha tuDah!! Acha tu mzee.
Bawasiri ilimrudisha mwanangu mtaani katika Bogi lililopita.
Jamaa alitumia kila dawa ili apone lakini ndio vile..
Inaumiza sana ukapata nafasi then ukarudi mtaani kisa unfit.
AlipitaHii bawasiri shenzi sana ata sisi intake yetu wengiii ilitukuta tukiwa katka ujenzi wana kibao walitolewa Unfit ila kuna mchiz alitumia dawa moja ya kienyeji ikakaa sawa
Inasababishwa na nini kwaniHii bawasiri shenzi sana ata sisi intake yetu wengiii ilitukuta tukiwa katka ujenzi wana kibao walitolewa Unfit ila kuna mchiz alitumia dawa moja ya kienyeji ikakaa sawa
Hii bawasiri siku zote ni mkandamizo wa ndani wa mishipa ya haja kubwa ambao upelekea kupasuka na kutengeneza kam kidonda au uvimbeInasababishwa na nini kwani