Swardolf102
JF-Expert Member
- Apr 6, 2024
- 295
- 320
Ndo inakuaje hyo bawasiri kwamba nyama znamuota kwenye mnduku ausioDah!! Acha tu mzee.
Bawasiri ilimrudisha mwanangu mtaani katika Bogi lililopita.
Jamaa alitumia kila dawa ili apone lakini ndio vile..
Inaumiza sana ukapata nafasi then ukarudi mtaani kisa unfit.