Uncle Reem
Senior Member
- May 14, 2023
- 115
- 210
Msijali wataita tena 2026
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😬😬Msijali wataita tena 2026
Watu Tunasaka hela za Kula sahiz mpaka 2026 tutakuwa tushakufa wazeeMsijali wataita tena 2026
Uyo wa la Saba anaonekana ana libuyu so mbuyu 🙌Alaf form 4 ndo wengi la 7 yupo mmoja
UhakikaUyo wa la Saba anaonekana ana libuyu so mbuyu 🙌
Ukisema libuyu una maana ngazi gan ya uongozi wazir nn?Uyo wa la Saba anaonekana ana libuyu so mbuyu 🙌
Wazir ni LIMUBUYU sio libuyu🤣🤣Ukisema libuyu una maana ngazi gan ya uongozi wazir nn?
Dah ila kambi nzima watu 32 ,, ata kama una bahati Gani 😂😂Uhakika
hhhhh Tanzania bila mbanga hata shikamoo hupewiWatu Tunasaka hela za Kula sahiz mpaka 2026 tutakuwa tushakufa wazee
Watwambie tuingie uko bila vigezo vya age naona 24 mwisho huu ni uonevu🤣Me mwenyewe nina mwanang mmoja hivi short kwelikweli kavaa na mwakajana alipata nyota Tma.
Ndo yule tulosema kapigwaIla huyo la 7 si aliwaonyesha form yake hum mkakataa hhhh
Si ndioNdo yule tulosema kapigwa
Kweli Amna ajuae keshoSi ndio
Naulizi huy dogo Haiti somebody Karimu?hhhhh Tanzania bila mbanga hata shikamoo hupewi
Mtaani muhimuKo na msata wataripoti ln au mpka vikosi vyote wamalze kusomewa majina na wa mtaani tutaenda kweli?
Kuna jamaa Jana kanipanikisha sijui kuna ukweli hapaMtaani muhimu
Nyie watu mnachekeshaaa, huyo mkaguaji ndo atakua anaongeza mshonooooAu marinda yanafutika[emoji23]