Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Hakikisha hizi tarehe simu yako inakua ON muda wote
Tarehe zipi tena mkuu zianishe hapahapa mambo yasiwe mengi
Mibuyu sio libuyu😂😂Uyo wa la Saba anaonekana ana libuyu so mbuyu 🙌
Watu wenyee mbangaa tena wa maana, hawako hapa kuulizia Updates,Kila mtu ana mbanga[emoji1787][emoji1787]
Watu wenyee mbangaa tena wa maana, hawako hapa kuulizia Updates,
Wako makwao kimyaa, kusubiri siku ya kuwasili maeneo.
Humu wotee ni Hoya hoyaa!!
Inachekeshaa humu hatareee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji
🤣🤣🤣 Sisi mbanga zetu ni ma private ndo maana hatuelewi tukaja hukuWatu wenyee mbangaa tena wa maana, hawako hapa kuulizia Updates,
Wako makwao kimyaa, kusubiri siku ya kuwasili maeneo.
Humu wotee ni Hoya hoyaa!!
Inachekeshaa humu hatareee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiongee ukwelii 😂Watu wenyee mbangaa tena wa maana, hawako hapa kuulizia Updates,
Wako makwao kimyaa, kusubiri siku ya kuwasili maeneo.
Humu wotee ni Hoya hoyaa!!
Inachekeshaa humu hatareee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We mbona mm nishatangulia msata wiki sass. Na watu wote humu wanajuaWatu wenyee mbangaa tena wa maana, hawako hapa kuulizia Updates,
Wako makwao kimyaa, kusubiri siku ya kuwasili maeneo.
Humu wotee ni Hoya hoyaa!!
Inachekeshaa humu hatareee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitaonaje zoez limekamilika na mm niko huku sielewi aniKuanzia Leo hii mkuu mpaka pale utakapoona zoezi limekamilika..naambiwa mpaka kozi kuanza zoezi la usaili na mchujo litachukua kama mwezi hivi
Ukiona millard ayo anasema kundi la 43😂😂Nitaonaje zoez limekamilika na mm niko huku sielewi ani
Ukiona zoezi la kupigiwa simu limekamilika bas uhakika🤣Nitaonaje zoez limekamilika na mm niko huku sielewi ani
jUkiona millard ayo anasema kundi la 43😂😂
Bado mkuu🤣Kwani hamjapigiwa simu bado?
Sa itakuaje,au nendeni getini pale MakaoBado mkuu🤣
Wanasema ukihitajika utaitwaSa itakuaje,au nendeni getini pale Makao
Msikonde wadau mtaitwa tu,najua UNFIT ni wengi tu kule kwahiyo nafasi zenu zipo tuWanasema ukihitajika utaitwa
Tupe mamba za uyo alokupigia tumpigie sisi 😁😁Kwani hamjapigiwa simu bado?
Mm niliaga kuja Msata watu wakajua utaniKwani hamjapigiwa simu bado?