Mijadala Migumu
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 380
- 422
Diploma na degree nasikia za uso huko vikosini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangazo si linajieleza lakin fom4 na 6 au kuna jipya sikulionaDiploma na degree nasikia za uso huko vikosini
Ndo maana akee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]UKweli mchungu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2]kumekucha watu kwenda kuumiaNimekutana na iveco sita zimetoka lugalo Leo ziko njian kwenda msata nyumba ziko na vitanda na Askari wa kutosha nilikuwa Niko njian kwenda bunju
Thubutuuuuu!!! Mbangaa atashindwa kukutumia kwa text au kukupigiaa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sisi mbanga zetu ni ma private ndo maana hatuelewi tukaja huku
Huo unyama[emoji2]kumekucha watu kwenda kuumia
Lazima niongee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiongee ukwelii [emoji23]
Em sema kweliii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We mbona mm nishatangulia msata wiki sass. Na watu wote humu wanajua
Amin kaka yatoke tu ili tufocus na mambo mengineJamani wayatowe tu nishachoka kusubiria
Utafanya watu leo wawe hima himaa huko mtaani, em acheni watuliee.Nimekutana na iveco sita zimetoka lugalo Leo ziko njian kwenda msata nyumba ziko na vitanda na Askari wa kutosha nilikuwa Niko njian kwenda bunju
SawaAmin kaka yatoke tu ili tufocus na mambo mengine
Amin kaka yatoke tu ili tufocus na mambo mengine
Akili bado inawaza gwandaKufocus na mambo mengine sahiv kumeshindikana sio
Yeye kwanini yupo huko , na kwanini mpaka leo Natamani kufuata mishahara ilipo?
hela ya nauli, na sisi tunaitaka hiyohiyo
hela ya nauli, na sisi tunaitaka hiyohiyo
Hahaha ko mimi nasomesha watoto wangu english medium kwa posho na sio mshahara na je taanza kulipwa lini madogo tafuteni kazi nyingne huku hakuna mshahara
Yeye kwanini yupo huko , na kwanini mpaka leo Natamani kufuata mishahara ilipo?
Hata huku mtaani hakuna mishahara
Sawa hamna mishahara kuna
hela ya nauli, na sisi tunaitaka hiyohiyo
😂😂Mnakula poshoHahaha ko mimi nasomesha watoto wangu english medium kwa posho na sio mshahara na je taanza kulipwa lini madogo tafuteni kazi nyingne huku hakuna mshahara