Mkuu feedback839kj now wanasomewa
Namba zipo pale kwenye website ya JW kakaTupe mamba za uyo alokupigia tumpigie sisi 😁😁
waache waendelee kushangaa, hadi jamaa wa std 7 kachukuliwa 😀Mm niliaga kuja Msata watu wakajua utani
Tunataka screenshot 😂Namba zipo pale kwenye website ya JW kaka
Hao huwa ni special mkuu usishangae kuna mwamba mmoja alikua amebobea kwenye *** na ule ukaribu wake na wale wazito mwamba ashavaa kitengewaache waendelee kushangaa, hadi jamaa wa std 7 kachukuliwa 😀
Alafu nyundo c alkua pale pale kihangaikoKwahiyo wajuba mnataka mkazibe nafasi ya Nyundo😂😂
Mimi nasubiri wakianza kwenda na mimi naenda hvyohivyo sisubiri sim😅Taratibu mwageni madeni nipo hapa nakunywa ya baridi nikiitwa nitawambia😂😂
😀 😀 😀 😀sio screenshot ngoja nikutumie picha,nnavokula dosoTunataka screenshot 😂
Hii chupi au sio yaan ya ndaniiii kbs??Yani kwa kifupi saaaana nisimumunye maneno wala kupepesa macho! Ikifika tarehe 2 mwez wa 9 hjapigiwa simu. Tusubirie mwakani
Ndo unaulizia zoezi hilo huku machozi yanakulenga lenga?Zoez la kupigiwa cm linaanza ln wakuu
32Uko wamechaguliwa watu wangapi
Kila wanaosomewa wanaondoka kwenda msataKo na msata wataripoti ln au mpka vikosi vyote wamalze kusomewa majina na wa mtaani tutaenda kweli?
Kutoka KjHii chupi au sio yaan ya ndaniiii kbs??
[emoji2]tunyooshe babaKutoka Kj
Wa mtaani lini mkuuKila wanaosomewa wanaondoka kwenda msata
Duuh kwahiyo kwanzia kesho Rts kutakua na wanafunzi?Kila wanaosomewa wanaondoka kwenda msata