Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Acha niwape za uhakika. Jana wamesomewa majina kwenye makambi yote ya jkt na Leo zoezi Hilo linaendelea kwa wale vijana walioko kwenye kazi maalum nje ya vikosi wengine wqnajenga N.k
Walioko nje kuanzia jumatano hii kueni hewani unaweza pigiwa simu a sms. Watu wanahitajika ni wengi sana kwahiyo endelea kusali sana pengine ukapata nafasi. Asanteni sana
 
Ukisema wengi una maana gan? Mbona unawapa moyo ambao hawatakiw kuwa nao? Rts hapa tuko nane wakuu. Huko uraian ikifika tarehe 2 mwez wa 9 hujapigiwa wala kupokea sms fanza kazi zingine
 
Sio kambi zote za jkt zimesomewa jana ni chache tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…