Orodhesha Ivo vipengele vya unfitUsaili wa mwaka huu utakuwa moto sana.
Kama unajijua wewe ni unfit usije.........
Kwa hiyo sisi wengine huku tulale na viatuVikosini kumekuwa pamoto sasaπ₯π
Aviorodheshe vyote lakin uref na ufupi ni mipango ya munguOrodhesha Ivo vipengele vya unfit
Wale waliokuwa kwenye ujenzi hawaitaji mbanga ni wote wanasepahhhhh Tanzania bila mbanga hata shikamoo hupewi
Wa mtaani ni pamoto wala si uongo [emoji1787][emoji23]Kwa hiyo sisi wengine huku tulale na viatu
Kalaga baho nitajipiga kamba wiki hii.. nikapunzike tu kwa godiWa mtaani ni pamoto wala si uongo [emoji1787][emoji23]
Anayejenga hasomewi majina anaenda [emoji23]. Karanga mpya na buti walishapelekewa wanasubiri nyumba zizinduliwe wapewe mgao wapande kwenye mabasiAcha niwape za uhakika. Jana wamesomewa majina kwenye makambi yote ya jkt na Leo zoezi Hilo linaendelea kwa wale vijana walioko kwenye kazi maalum nje ya vikosi wengine wqnajenga N.k
Walioko nje kuanzia jumatano hii kueni hewani unaweza pigiwa simu a sms. Watu wanahitajika ni wengi sana kwahiyo endelea kusali sana pengine ukapata nafasi. Asanteni sana
Ujenzi gan tena wazeeeWale waliokuwa kwenye ujenzi hawaitaji mbanga ni wote wanasepa
Kuna vijana walikuwa katika ujenzi wa nyumba kule tanga kwa ajili ya makazi ya wale Wamasai walioamishwa . Waliwapunguza makambini wanaume tu waende kujenga . kuna wapopo walidoji wengine wakafanya wanayofanya ili wasiende [emoji23] kukimbia kazi si unajua tena sifa wepesi. Haya sasa washakji wanaenda wote waliobaki ndio kama hivyo mapanga.wahuni huku tanga mchawi damu tuUjenzi gan tena wazeee
Unaijua opereshn mabeyo ilikuaje kaka?Kuna vijana walikuwa katika ujenzi wa nyumba kule tanga kwa ajili ya makazi ya wale Wamasai walioamishwa . Waliwapunguza makambini wanaume tu waende kujenga . kuna wapopo walidoji wengine wakafanya wanayofanya ili wasiende [emoji23] kukimbia kazi si unajua tena sifa wepesi. Haya sasa washakji wanaenda wote waliobaki ndio kama hivyo mapanga.wahuni huku tanga mchawi damu tu
Kuwaje kivipi weka swali vizuriUnaijua opereshn mabeyo ilikuaje kaka?
Naweza kupata hii nyagi hapo dp mara moja?Wa mtaani ni pamoto wala si uongo [emoji1787][emoji23]
Opereshen mabeyo iliundwa unaware na vijana walipatikana vipi au ndo hao walioenda kujenga?Kuwaje kivipi weka swali vizuri
Op mobeyo iliundwa mwaka 2022 watu wapo aware nayo what do you mean "unaware ?" na ndio hao baadhi ya vijana walikatwa kwenda kujenga na ndio op iliyopo sahii ambayo mkataba wao unaisha mwaka huu.Opereshen mabeyo iliundwa unaware na vijana walipatikana vipi au ndo hao walioenda kujenga?
Umepata mesej au ππMamaa Mtpdiiiiii ππ
Sasa ivi mkitoa ronja tunaomba mtaje na vyeo vyenu msitupanikisheKuna vijana walikuwa katika ujenzi wa nyumba kule tanga kwa ajili ya makazi ya wale Wamasai walioamishwa . Waliwapunguza makambini wanaume tu waende kujenga . kuna wapopo walidoji wengine wakafanya wanayofanya ili wasiende [emoji23] kukimbia kazi si unajua tena sifa wepesi. Haya sasa washakji wanaenda wote waliobaki ndio kama hivyo mapanga.wahuni huku tanga mchawi damu tu
Umepata mesej au ππ
Screenshot π«΄Mapemaa sanaaa π