Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Labda mwakajana 7bu mi mwenyewe nlipigwa azwea mwakajana na nlishanunua vitu tyr lkn bogi likapigwa Moja tu kihangaiko na oljoro likapigwa azwea
Ndo iyoiyo mkuu.. kichwa kishapagawa iki😅😅
Unazungumzia ile ambayo ilifungwa Kihangaiko mwezi wa 6 sijui 4 then wakafata Oljoro tarehe 30/10 au ipi?
Nilichanganya miezi apa hii ndo ya mwisho naikumbuka kupigwa oljoro iliisha 30/09 kuna mwanng aliapa kwenye hii intake
Hapana mkuu hyo ya oljoro iliisha September ya kihangaiko ndo iliisha june
Nilichanganya miezi tu
 
Jeshi ni zuri kama hampigani vita ila ikiwa tofauti hela zake hata hutozitamani hapa ndio msemo halisi kuwa jeshi halitoi ajira ndipo huthibitika.

Vijana mna fuatilia kwa umakini vita vya Ukraine na Urusi hasa kwa askari wa pande zote mbili ?
 
Unataka kusema hata vipimo hawafanyiwi mkuu?
Wanafanya hakuna asiefanya vipimo utofauti unakuja kwamba hawakamiwi sana anaweza akawa na kasoro kama yako wewe ukaachwa yeye akaenda alafu wao mara nyingi hawapitii mlolongo kama utaopitia wewe..kama ulienda jkt kuna watu hua wanakuja kuapa na kozi hawajapiga wanapewa cheti wanaenda huo ni mfano sasa
 
Mambo ya Jeshi si ya kuhoji , asiyesikia la mkuu....!
 
Naomba kuulizwa swali ivi baba kantuma ni mtu yoyote mwenye mbanga au ni watu wa aina gani hao😬
 
Na ambao hawana Chet cha Jax kama ndugu yangu hapo juu inakuaje huko kwenye usahili
Kama hauna cheti Cha Jax kwenye usahili unaweza wekwa pembeni kama hauna mbanga ila pia Mungu yupo unaweza penya tu ile ni kozi nyingne kabisa tofauti na Jkt mambo yanaanz na moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…