Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

I believe
Si kila mtu hapa yupo kupata lonja. Unajua shida iliyopo ni imani ya kwamba kila alie na vigezo ataitwa. Kuna watu wanaamin kwamba nina vigezo nitaitwa. Hii si nzur although, kuwa na vigezo complete sio sabab

Ikija suala la nafas na uchache wake ni real, kama mungu ni wa kila mtu watakaopata ni wa mungu kama wale waliokosa. Imani juu ya matarajio pia inabidi owe flexible, si kila aliyekosa nafas kama hiz alifeli vitu vingine alivyofanya. Kuna watu katika tutakaosa hiz, watafanikiwa katika njia nyingine ya maisha zaidi ya tutakaopata. Maisha yanaenda mbele kinyumenyume

Who knows tomorrow?
Watu kila siku tunaambiwa tunywe maji ya kutosha lakini tupo bize na lonja.😄😄😄😄😄
 
Nakuelewa mkuu ila watu wanaweza kulibeba hili leo wakashindwa hata kushuglika na wake zao mitaani kwa stress. Tutashindwa kuzaana! Hiv unajua ujumbe kama huu ukifika hapa ni kina Padone EPM wangapi leo watalala na njaa?

Na jina ulilojipa linaheshimika sana humu. KJ ni mamlaka hayo 😆😆
Hahah mi Mdogo wang tayar sms imeingia na doso nitampa mim mwenyew ole wale mtakao kuwa kihelehele kwa mabinti wazuri dunia itawahusu
 
Kwahyo kesho vijana wanaanza kuripot hapo shuleni
 
Waambie na hawa vijana wa hapa mahitaji gani wawe nayo ili waanze kujiandaa mapema.
Daah mwaka juzi nilipata bahati kufikia hadi kuambiwa niandae nini na nini nikareport Oljolo Dk za mwisho ikapigwa aziwea sina hamu. Sema tu sikuleta papara kununua vitu la sivyo kingenilamba ila nilichukua boxer nyingi sana kama walivyosema kwa wakati ule..

Kila la kheri kwa mtapata sms mkapite kwenye sahili zenu.
 
Ilikuaje mkuu haukuripoti kwa nn au uliipoti ukatokea unfit? Lete maneno hayo..

Back
Top Bottom