Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ivi kutakua na muda wa kupitia barua zote au ni kufarijiana tu
Kila barua itapitiwa yani akuna kitu kitaachwa ila watatafuta namna ya kupunguza watu kwanza kabisa jamaa hua wanazingatia vyeti vya taaluma na kuzaliwa ivo ndio wanakua serious kwamba ni vyako na je umemaliza form four mwaka 2018 na cheti kinaonesha umezaliwa 2005 apo watapima kwa tanzania mtu mwenye miaka hio anakua kidato gani wakiona ni tofauti sana na uhalisia basi wanaweka pembeni pia wanaangalia majina vyeti vya shule na kuzaliwa kama ni sawa vikipishana sana inawekwa pembeni pia wanaangalia umeweka vyeti original sio result slip ukiweka results pembeni kwaio vitu kama hivo na hapo ndio mbanga zinachomeka watu
 
Na usipoitwa usikate tamaa jua kwamba pale kwenye usaili kuna watu watatemwa kutokana na matatizo ya kiafya na hua wanatemwa wengi ata mimi ni muhanga japo nilitemwa sio kwajiri ya afya figisu
 
Na usipoitwa usikate tamaa jua kwamba pale kwenye usaili kuna watu watatemwa kutokana na matatizo ya kiafya na hua wanatemwa wengi ata mimi ni muhanga japo nilitemwa sio kwajiri ya afya figisu
Hakika ni kweli sio kwamba ukiitwa ndo tayari bdo kwenye usahili unaweza Rudi home intake X watu tulipiga nao Jax na kujenga pamoj but kweny usahili mamb yalikuwa so mambo walilia sana ivo basi vijana tusikate tamaa tuangalie na njia nyingne za utafutaji
 
Watu hawajui apa ndio pa kuomba mungu sana yani ushafika adi kihangaiko afu unarudi home jau sana inauma kinyama
 
Kwakua jina lako litakua tayari lipo RTS na limetoka makao makuu ya jeshi relax wao wanatadili na vyeti vyako vya taaluma na kuzaliwa basi bila kusahau vipimo kujua kama umewakaπŸ˜‚
Hivi majina ya kuruti kwa ajili ya kozi huwa yanatoka makao makuu ya JKT au makao makuu ya jeshi?
 
Mkuu kwenye swala la umri na mwaka mtu aliomaliza form 4 mbona kuna wana nawajua walipiga jakata op muungano na wakaja kumaliza RTS intake iliyopita,sasa hii imekaaje au ndio maelekezo.?
 
Hiyo ya mbanga kusimamia shoo ndo naipenda bure. Wakuu natafuta mtu mwenye baba kanituma tuwasiliane inbox. Tujue tunafanyaje wazee mana sisi nasikia tunafatwq na iveco majumbani mwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…