Kila barua itapitiwa yani akuna kitu kitaachwa ila watatafuta namna ya kupunguza watu kwanza kabisa jamaa hua wanazingatia vyeti vya taaluma na kuzaliwa ivo ndio wanakua serious kwamba ni vyako na je umemaliza form four mwaka 2018 na cheti kinaonesha umezaliwa 2005 apo watapima kwa tanzania mtu mwenye miaka hio anakua kidato gani wakiona ni tofauti sana na uhalisia basi wanaweka pembeni pia wanaangalia majina vyeti vya shule na kuzaliwa kama ni sawa vikipishana sana inawekwa pembeni pia wanaangalia umeweka vyeti original sio result slip ukiweka results pembeni kwaio vitu kama hivo na hapo ndio mbanga zinachomeka watu