Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Alafu kwa wale ambao walikuwa wakifatilia hii trend tokea mwaka jana watakumbuka ya kwamba nilisema kitu ambacho adi asaivi sina cha kuongeza wala kupunguza( "Amini kwamba watu wameshakaa chini wakabuni mazingira yao ya kuupiga mwingi kwenye chaguzi zijazo tena mm ninaona. Kabisaa watu watakaoitwa kwenye iyo ajira watakuwa ni wengi saana tu kutoka uraiani tena bila kupiganisha Wala nn so apo kinachoitajika ni stamala tu na kunywa Maji mengi ili kusudi moyo uelee vijana mpo hapo!!!")
 
Naweza kuunga mkono kwaiyo maswala ya limit za miaka na kuhusu wa uraiani ni wale waliopitia JkT au Ata ambao hawajapitia Jkt ufafanuzi kidogo
 
Alafu kwa wale ambao walikuwa wakifatilia hii trend tokea mwaka jana watakumbuka ya kwamba nilisema kitu ambacho adi asaivi sina cha kuongeza wala kupunguza( "Amini kwamba watu wameshakaa chini wakabuni mazingira yao ya kuupiga mwingi kwenye chaguzi zijazo tena mm ninaona. Kabisaa watu watakaoitwa kwenye iyo ajira watakuwa ni wengi saana tu kutoka uraiani tena bila kupiganisha Wala nn so apo kinachoitajika ni stamala tu na kunywa Maji mengi ili kusudi moyo uelee vijana mpo hapo!!!")
Endelea kudanganya wenzako
 
Wadau mlioko huko JW naomba kufahamu huyo mwamba hapo kushoto kabisa ni kikosi gani,mbona vazi lake ni tofauti, na pia inahitaji nini ili mtu avae gwanda kama hilo?
GV_7hq5XYAExHJc.jpeg
 
Kaka mi sipo RTS nipo Kolomije,ila nataka nije Daslam nasikia kuna kazi inaitwa "Winga" nataka na mimi nifanye hiyo
Hii hauiwez mkuu, kama unaweza uniuzie pochi zangu huko ulipo. Duka naligungua mbezi Beach pale next month kama utaweza nitakupa ganji nzur mkuu
 
Back
Top Bottom