Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Acha niwape za uhakika. Jana wamesomewa majina kwenye makambi yote ya jkt na Leo zoezi Hilo linaendelea kwa wale vijana walioko kwenye kazi maalum nje ya vikosi wengine wqnajenga N.k
Walioko nje kuanzia jumatano hii kueni hewani unaweza pigiwa simu a sms. Watu wanahitajika ni wengi sana kwahiyo endelea kusali sana pengine ukapata nafasi. Asanteni sana
Wente elimu kuna ugumu bado
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mwachii uko msata,? Nyiee nachekaa huku hatariiiii.
Woiiiiiiih, jeshii limeiingiliwaa!!

Lamomy uduguuu njoo ujioneee huku mamboo yamekwivaaaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo nakimbia uku mbio za chakula ila chakula si haba mchana tumekula ugali rost ya nyama mboga za majani na otamilo hapa nimeshiba nasubiri kuitika lokooo tumwagwe tukasimame mnazi
 
Ila humuu kuna comments zinachekeshaaa hatareee!! Kila siku nasemaa humu wako Hoya hoyaa.

Wenyee uhakika, wametuliaa tuliiii huko makwaoo, kusubiri kwendaa kihangaikoni.

Mtauana kwa pressure bureee, Woiiiiiih.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nipo nakimbia uku mbio za chakula ila chakula si haba mchana tumekula ugali rost ya nyama mboga za majani na otamilo hapa nimeshiba nasubiri kuitika lokooo tumwagwe tukasimame mnazi
Unanichekeshaaa Mwachiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hayaa kurutaaa, piga tiziii, piga jarambaa, vaa gwandaa.
Watu weuweeee!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom