Wakuu hivi kuna aliepigiwa simu?? Au sisi wa uraiani bado?Kwendaaa hukooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huna loloteee, unajichoreshaa bureee. Lol
Tumsifu Yesu kristo....Nakubalina na wewe mkuu hadi natokwa na machoz huku mbagala... kuna mtu aliwah kupigiwa simu ndo akapekeka vyeti siku hiyohiyo n kesho akaenda kozi, hata uzalendo hakukaa
Umetisha sana founder wa huu Uzi🤣Watu wanautembeza uzi, mwenye uzi wangu nawasoma tu…
Nime’chill 😂
Vp we lkn c uhakika kutimba rtsWatu wanautembeza uzi, mwenye uzi wangu nawasoma tu…
Nime’chill 😂
Jamii forum hii yote mwenye uhakika na hiyo kitu ni mm tu.. n uhakika wenyewe sio 24/7 kuna siku unaondokaga nabakia mweupeVp we lkn c uhakika kutimba rts
Huyo usalama wa taifa kitengo cha PSU (Presidential Security Unit) na VIP ProtectionWadau mlioko huko JW naomba kufahamu huyo mwamba hapo kushoto kabisa ni kikosi gani,mbona vazi lake ni tofauti, na pia inahitaji nini ili mtu avae gwanda kama hilo?
View attachment 3080818
Hiyo ni kambi ya makomando Morogoro ukisikia 92 KJ ndio HukoNdio wapi oljoro?
Welcome back jadda.Hiyo ni kambi ya makomando Morogoro ukisikia 92 KJ ndio Huko
Wanapigisha kama kawa subiri kwanza wafike rts kupiga usahili ndo watakatwa Bogi la kwenda OljoroORJORO VIPI HAIPIGISHI KOZI??
Lete lonja mkuu achana na habar za makuzi, hizo tuachie wenyew.. nyie watu mnaoheshimika kwa details za maana tu.Tunaendelea kuimba chenja uku Kalaga Baho Nongwa
Sameja sameja mpenda kwata sameja
Oc oc mpenda sifa oc oc mpenda sifa π
Watu wanendelea kwenda na wa mtaan kuanzia leo waanza pigiwa simuLete lonja mkuu achana na habar za makuzi, hizo tuachie wenyew.. nyie watu mnaoheshimika kwa details za maana tu.
Wanaanza au wameanzaWatu wanendelea kwenda na wa mtaan kuanzia leo waanza pigiwa simu
Lete facts mkuu, baba kanituma lakini sitaki tunaenda lini bogi letuKunazidi kuchangamka RTS wanafunzi wameshaanza kuingia...
Jana niliambiwa wanaanza leo so ueenda teyar washaripot sijaongea nae tna bossWanaanza au wameanza
Kwani ww si ulisema ushafika mpaka mmepewa na maslesha ya kufyekaLete facts mkuu, baba kanituma lakini sitaki tunaenda lini bogi letu