Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Sio kweri ata koplo anafanikisha jambo unajua ile team ya ulinzi ya mkuu wa majeshi au wale star gen wote akuna mwenye cheo cha kanali sasa wale ndio watu wakula nao sahani moja mana wsnashinda na watu wazito wote
Umeua kabisa acha aendelee kukalili huku PT tu wa rtiesin anaweza set mambo na wakulu raia wake wakatia timu hapo Kati😂
 
We jamaa wa ikulu imekuja kuokota raia zako....kuna mwamba hapo juu kashamaliza kila kitu anaweza kuwa ana cheo kidogo ila yeye ndio ameshibana na wakubwa huko juu na utashi wake wa kuchekecha mambo ukazama chomboni...
Watu apa wamekalili sana kuna siku nilisema kanali anaefanya kazi chita sio sawa na koplo anaefanya kazi tawi la utumishi MMJ
 
Back
Top Bottom