Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Hapan mkuu, mm sio active sana kwa hizi nina iman ndogo sana sana. So naziguaga tu, sijaomba hizi. Lkin taarifa hii nawez kuikubali n nimeambiwa mchakato wa sim n meseji ni too personal wengine wanatafutwa 3 weeks baada ya

MSOMERA NI 700 WAKUU SIO 800
Kwanini hawa wamechukuliwa wengi hivi ni kambi moja au ndo wale wa mobeyo?
 
Ndio ipo ivyo nasikia
 
Huu mwaka tunaweza toboa hawa wakuu hawaeleweki
Wangemix tu na degree kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…