Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Hapan mkuu, mm sio active sana kwa hizi nina iman ndogo sana sana. So naziguaga tu, sijaomba hizi. Lkin taarifa hii nawez kuikubali n nimeambiwa mchakato wa sim n meseji ni too personal wengine wanatafutwa 3 weeks baada ya

MSOMERA NI 700 WAKUU SIO 800
Kwanini hawa wamechukuliwa wengi hivi ni kambi moja au ndo wale wa mobeyo?
 
Bogi la wasomi linakuja na professionality. Wakigitaji madktari, wahandisi, fundi umeme, madereva wanatangaza na idadi ya wahitajika. Hii inabebaga mpaka professionals ambao hawajapita vikosi. Hili sijaliskia mkuu may be kama ipo itaweza kusikika sikika mwez wa 11
Ndio ipo ivyo nasikia
 
Huu mwaka tunaweza toboa hawa wakuu hawaeleweki
Wangemix tu na degree kidogo
 
Back
Top Bottom