Nipo apa baba paroko kulifanikisha tendo ilo takatifu.Kuna mwanamke namfananisha na hiyo picha ya profile yake…
Nataka nimmeri, nikivaa tu bakabaka 😂..
Rejea comment yangu ya mwisho kuhusu ili.Kwanzia saizi mpaka tarehe 7 kam hujapigiwa au kutumiwa sms afu upo uraiani ujue imeenda hiyo mambo yanatakiwa fasta fasta na kozi ni mwez wa 11 ndo inaanza
Ebu itag tuioneRejea comment yangu ya mwisho kuhusu ili.
Ukipata mda wa kulala lala nowHaya madogo yanalala lala tu kizembe mpaka now dadeqiii Kozi ikifunguliwa watajuta haiwezekan mi npo macho saa 10 hii yenyewe yamelala et yamechoka na safari nasemaje yatakubaliii within 6 weeks kuna watu watatema Bung'ooo maji yatazid unga
Wewe unayejua tuambie ngerengere kuna kambi ganiWewee unamdanganya mwenzio
92KJ sangasanga 😀Wewe unayejua tuambie ngerengere kuna kambi gani
Wana share geti na one two one... Huko ndan makao makuu ya 92 hamna chupi😂92KJ sangasanga 😀
We unakitu utafika mbali sanaMimi mbanga zangu zipo tatu kwakua hazipokei simu nimeunga group la whatsapp mbanga tatu na mimi mana kumcheki mmoja mmoja jau😂😂
Kwani kwenye mafunzo watu hawalali!!!!?,Haya madogo yanalala lala tu kizembe mpaka now dadeqiii Kozi ikifunguliwa watajuta haiwezekan mi npo macho saa 10 hii yenyewe yamelala et yamechoka na safari nasemaje yatakubaliii within 6 weeks kuna watu watatema Bung'ooo maji yatazid unga
Emb nipigie msolid tuongee kwanzaMimi mbanga zangu zipo tatu kwakua hazipokei simu nimeunga group la whatsapp mbanga tatu na mimi mana kumcheki mmoja mmoja jau😂😂
Njoo whatsappEmb nipigie msolid tuongee kwanza
Nipo apa baba paroko kulifanikisha tendo ilo takatifu.
Cocastic, njoo uone hii 😎Nipo apa baba paroko kulifanikisha tendo ilo takatifu.
6 weeks ulale duuuh kama hujajiandaa kisaikolojia kuwa zombie usije au usimshauri mdg wako kujaKwani kwenye mafunzo watu hawalali!!!!?,
Minajua mnakimbia asubuhi baada ya apo minaingia kwenye kwata, sindio!
Hizo six weeks mwambie atakesha akipiga push up kubeba magogo na mazaga mengine kibao mpk mornie aunge mabio😂6 weeks ulale duuuh kama hujajiandaa kisaikolojia kuwa zombie usije au usimshauri mdg wako kuja
Mda wa kulala ni wakati unakimbia na wakati unakula🤣🤣🤣🤣Hizo six weeks mwambie atakesha akipiga push up kubeba magogo na mazaga mengine kibao mpk mornie aunge mabio😂
Alaf mabio begi huwa n kilo ngap wakuu 5Kg au 10Kg??Mda wa kulala ni wakati unakimbia na wakati unakula🤣🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeeeCocastic, njoo uone hii [emoji41]