Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

We jeshi halipo damuni mkuu ndo maana unaongea hvo we unafata maokoto🤣🤣
Mm silielewi kabisa mkuu, baba anitume tu lakini sielewi kabisa yani. Ila nimesema humu ukiwa hujatumiwa sms kufikia tarehe 2 bas ntoleee mana hiyo inabakia kuwa kesi ya watu maalum tu. Na hapo usahilin hapo kuna sheshe
 
Back
Top Bottom