Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Huyo mwenye cheo kidogo atamuomba nan kufanikisha hilo jambo?

Mkoa X kuna staff sajent kila mwaka lzm apenyeze mtu JW nafasi zikitoka kwa sababu ni dereva wa Kanali hivyo basi huwa anamuomba Kanali amsaidie

Pia mkoa huo huo kuna captain Ana mdogo wake ameanza kumtafutia nafasi ya jeshi since 2019 kakosa amekupa kupata magereza mwaka jana
Kwahyo mkuu wewe unatushaurije tusiokua na mbanga
 
Sawa huyo privet akitaka nafasi anaenda kuongea na Sajent au anaamua tu yeye kukupachika ?
Anaenda kuongea na mzee mmoja kutoka Kyela uko ndugu yang yey hana uwezo wa kumpachika mtu ila anakarama ya kukubarika na wazee ata huyu Kanali anaongea nae vzr kuliko wew
 
Hapan sio za tanesco Ila we jiandae kuziinua kwa filimbi😂 bega la kushoto kuamishia kulia mara kati upige skwat nayo😂😂 na bakora juu dadeqiiii
Naskia mnaongia kozi tu mnapishana na iveco imeflot! Imejaa fimbo.. na zinapigwq kwa kuvululwa tu. Shingoni began mgongoni utajua wewe
 
  • Thanks
Reactions: xmx
Back
Top Bottom