Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Naomba msaada wadau:
Niko 2nd year, mwakani nategemea kumaliza chuo. Wadau wengi ikiwemo wanangu waliopo jw na bms wananipanga ni-postpone chuo ili nikapige kozi alaf nitakuja kuomba kuendelea na masomo nikishakua poti.
ILA mbanga langu (Brigedia) rafiki wa karibu sana na mzee, ananipanga nimalize chuo kwanza akisema "Huku kuna mambo mengi." angalikuwa nafasi hizi sio constant na zinakwenda na umri.

Naombeni mchango wenu wa mawazo wakuu.
 
Zenji nao wanakitenge chao
20230530_091408.jpg
 
Naomba msaada wadau:
Niko 2nd year, mwakani nategemea kumaliza chuo. Wadau wengi ikiwemo wanangu waliopo jw na bms wananipanga ni-postpone chuo ili nikapige kozi alaf nitakuja kuomba kuendelea na masomo nikishakua poti.
ILA mbanga langu (Brigedia) rafiki wa karibu sana na mzee, ananipanga nimalize chuo kwanza akisema "Huku kuna mambo mengi." angalikuwa nafasi hizi sio constant na zinakwenda na umri.

Naombeni mchango wenu wa mawazo wakuu.
Acha chuo mzee, dploma na degree hawatakiw jeshn vipi brigedia hajakwambia

Ila inasikitish sana jeshi wanataka liwe la kisasa ila hawawataki wasomi
 
Chuo mambo mengi Sana..huku ni ajira. Anyway tupe lonja ya brigedia anasemaje huko mkuu ni uhakika intake ina watu nyomi au ni skendo tu
 
Wasomi wanahitajika, tena sana tu. Na wapo wanaosomeshwa na jeshi kozi tofautitofauti kulingana na matakwa ya jeshi. Mwanangu mmoja alipiga EGM ila saivi anasomea electric engineering 🇷🇺,n.k
Na pia hua wanatangaza either ndani ya makambi au mara chache nje ya kambi kuhusu uhitaji wa specific profession.
So wasomi wanahitajika ila wanakuaga specific sana.
 
Chuo mambo mengi Sana..huku ni ajira. Anyway tupe lonja ya brigedia anasemaje huko mkuu ni uhakika intake ina watu nyomi au ni skendo tu
Jamaa majibu yake yako kwa pande mbili ila kwa sababu hiyo hiyo moja ambayo ni uchaguzi.
It's either intake itakua na watu wengi ili ku-boost vijana kwenye ajira serikalini na kuongezeka kukubalika mtaani na kupita tena.
Au, inaweza ikawa wachache ili ku-balance shughuli/mahitaji ya jeshi na maandalizi ya kampeni za uchaguzi.
 
Naomba msaada wadau:
Niko 2nd year, mwakani nategemea kumaliza chuo. Wadau wengi ikiwemo wanangu waliopo jw na bms wananipanga ni-postpone chuo ili nikapige kozi alaf nitakuja kuomba kuendelea na masomo nikishakua poti.
ILA mbanga langu (Brigedia) rafiki wa karibu sana na mzee, ananipanga nimalize chuo kwanza akisema "Huku kuna mambo mengi." angalikuwa nafasi hizi sio constant na zinakwenda na umri.

Naombeni mchango wenu wa mawazo wakuu.
Huyo mbanga Ana kuwekea ukuta unaweza maliza chuo aseme ungenicheki wakati ule ...dogo langu Alikuwa chuo mwaka wa mwisho nafasi ikaja ya maelekezo nika mwambia dogo piga chini chuo utakuja soma mbele heri uwe Private Kwa muda Hali. Mwisho wa mwez nmb inacheka kuliko kuwa jobless in short dogo Yuko kwenye chombo chuo Aliacha kabla hapo akisaka bakabaka akiwa mujibu Afande Moja aliweka ukuta sana siasa hizo nenda chuo utarudi
 
madam oljoro iko wapi?
Kama hukuelewa ungeuliza kwanza, lamomy alimuambia mwachiluwi kuwa ngerengere ndio panamfaa, mwachiluwi akauliza ndio wapi huko ni oljoro au, mimi ndio nikamjibu mwachiluwi kwamba hiyo ni kambi ya makomando morogoro, nikiwa na maana ngerengere na siyo oljoro kama alivouliza
 
Sawa madam nimekupata🔥✊️
 
Nimeahidi na nimetekeleza
Kama nilivyosema Leo saa 10 nitapandisha taarifa za ndani kabisa na za uhakika

Sasa nafuta maana ni taarifa nyeti hizo nilizowapa kwa ambao hamjapata mtauliza kwa waliokuwa online
 
Back
Top Bottom