Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Kwahyo mkuu wewe unatushaurije tusiokua na mbanga
 
Sawa huyo privet akitaka nafasi anaenda kuongea na Sajent au anaamua tu yeye kukupachika ?
Anaenda kuongea na mzee mmoja kutoka Kyela uko ndugu yang yey hana uwezo wa kumpachika mtu ila anakarama ya kukubarika na wazee ata huyu Kanali anaongea nae vzr kuliko wew
 
Hapan sio za tanesco Ila we jiandae kuziinua kwa filimbi😂 bega la kushoto kuamishia kulia mara kati upige skwat nayo😂😂 na bakora juu dadeqiiii
Naskia mnaongia kozi tu mnapishana na iveco imeflot! Imejaa fimbo.. na zinapigwq kwa kuvululwa tu. Shingoni began mgongoni utajua wewe
 
Reactions: xmx
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…