Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Niamini Mimi nina vyanzo vya kuaminika huko
Binafsi nilitamani saana kuwa mwanakitenge
Pia nipo nampambania mdogo wake demu wangu aingie huko
Poa mkuu ✊✊ mdogo wake dem wako n wakiume au wakike,,, Kam wakike tupinge urafiki
 
Naona makomando wanapiga sit-ups zakutosha hapa Uhuru,mara wengine wamebeba magogo,wamesema hawataki wasomi huko.
 
Cha muhimu kwakijana kujua ni kwamba hakuna ajira jeshini na wala hakuna mshahara jeshin, na ndomana ata kweny matangazo tunasema nafasi ya (kuandikisha vijana) sio kuajiri vijana na hcho mnachosema ni mshahara hapan ile ni posho. Hvyo kama unalitaka jeshi kwaajili ya mshahara au likutajirishe sahau hilo swala. Ingia kwa moyo Wakutumikia nchi
 
Mimi nipo tayari kuitumikia Nchi yangu please nipe nafasi
 
Cha muhimu kwakijana kujua ni kwamba hakuna ajira jeshini na wala hakuna mshahara jeshin, na ndomana ata kweny matangazo tunasema nafasi ya (kuandikisha vijana) sio kuajiri vijana na hcho mnachosema ni mshahara hapan ile ni posho. Hvyo kama unalitaka jeshi kwaajili ya mshahara au likutajirishe sahau hilo swala. Ingia kwa moyo Wakutumikia nchi
Nchi yenyewe hii au?
 
Dah!! Acha tu mzee.

Bawasiri ilimrudisha mwanangu mtaani katika Bogi lililopita.

Jamaa alitumia kila dawa ili apone lakini ndio vile..

Inaumiza sana ukapata nafasi then ukarudi mtaani kisa unfit.
Anitafute inbox nampa dawa ndani ya siku 4 anapona bawasiri
 
● service kutoka mlundikwa walifika Jana huko USATANI

●WASAILI WALIFIKA JANA USIKU WA MANANE HAPO USATANI kutokea makao makuu

●usaili ilitakiwa uanze leo but imekuwa kimya

●watu wa uraiani watachukuliwa wachache mno (kulikuwa na uwezekano watu wa uraiani wapigie orjolo lkn uwezekano ni mdogo)

●mpaka12 jioni service walikuwa 2500

●Namtafuta rafiki yangu Yaragwira mkuyumba tulipotezana mkoani njombe mwaka 2010 mwanga primary
Kwhyo bogi hili ni la watu 2500 net?
 
Back
Top Bottom