Poa mkuu ✊✊ mdogo wake dem wako n wakiume au wakike,,, Kam wakike tupinge urafikiNiamini Mimi nina vyanzo vya kuaminika huko
Binafsi nilitamani saana kuwa mwanakitenge
Pia nipo nampambania mdogo wake demu wangu aingie huko
Swardolf mdogo wako katumiwa meseji siku kadhaa nyuma ni mmoja kati ya baba kanituma walioripoti au kati ya 1300 waTAkaotoka mtaani?Wakuu mbn hamumjibu kiongozi akat katoa lonja kubwa hvo mnazingua bhana 😬😬
Polisi huitaki?YAaani ningekuwa nimefanya usahili za polisi afu majina yakatoka kuwili polic na jw nakimbilia Jw fasta ata waseme nn
We jamaa
Nyau nyau hadi sahiviKuna habari gani huko tarehe 2 hii
Mimi nipo tayari kuitumikia Nchi yangu please nipe nafasiCha muhimu kwakijana kujua ni kwamba hakuna ajira jeshini na wala hakuna mshahara jeshin, na ndomana ata kweny matangazo tunasema nafasi ya (kuandikisha vijana) sio kuajiri vijana na hcho mnachosema ni mshahara hapan ile ni posho. Hvyo kama unalitaka jeshi kwaajili ya mshahara au likutajirishe sahau hilo swala. Ingia kwa moyo Wakutumikia nchi
Nchi yenyewe hii au?Cha muhimu kwakijana kujua ni kwamba hakuna ajira jeshini na wala hakuna mshahara jeshin, na ndomana ata kweny matangazo tunasema nafasi ya (kuandikisha vijana) sio kuajiri vijana na hcho mnachosema ni mshahara hapan ile ni posho. Hvyo kama unalitaka jeshi kwaajili ya mshahara au likutajirishe sahau hilo swala. Ingia kwa moyo Wakutumikia nchi
Wapi?Aaaaah wapiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anitafute inbox nampa dawa ndani ya siku 4 anapona bawasiriDah!! Acha tu mzee.
Bawasiri ilimrudisha mwanangu mtaani katika Bogi lililopita.
Jamaa alitumia kila dawa ili apone lakini ndio vile..
Inaumiza sana ukapata nafasi then ukarudi mtaani kisa unfit.
Update iliyopo ni kufa na mbanga wako tu mana dakika za majeruhi hizTupeni update za jw
Sijambo mkuuBachelor ll hujambo?
Lete lonja ya uhakika, vijana vichwa vimeshapata moto mtaan simu haziitiSijambo mkuu
Kwhyo bogi hili ni la watu 2500 net?● service kutoka mlundikwa walifika Jana huko USATANI
●WASAILI WALIFIKA JANA USIKU WA MANANE HAPO USATANI kutokea makao makuu
●usaili ilitakiwa uanze leo but imekuwa kimya
●watu wa uraiani watachukuliwa wachache mno (kulikuwa na uwezekano watu wa uraiani wapigie orjolo lkn uwezekano ni mdogo)
●mpaka12 jioni service walikuwa 2500
●Namtafuta rafiki yangu Yaragwira mkuyumba tulipotezana mkoani njombe mwaka 2010 mwanga primary