Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Bado wananachambua barua (kama wapo serious vile)
Mpaka sasa Mbanga ya uhakika ni kuanzia major General
MI wamekaza watu wa maelekezo maalumu so ni habari njema
Hahaha, naona mimbanga na mibuyu inafuana hapo mjengoni. Kimbembe mwaka huu si kidogo.. kwa hiyo na sisi baba kantuma tufanyeje mzee baba?
 
Kumekuchaaaaaa!!! Uongooo umeanzaaa sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila Waja wa JF mtuachee bhanaa khaaaah
 
Upo vizur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…