Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Yaaani unafurahi Dg lako kwenda Moshi kwenye upolisi 🀣🀣 Daaah bora nibaki sina kazi kuliko kuwa Polisi
Maisha yametofautiana mkuu,wasomi wamekuwa wengi na ajira zimekuwa ngumu sana sasaiv,alafu kikubwa zaid kunamabomu niliamua kujivisha kwaiyo kama mambo yangeenda ndivyosivyo kuna lawama kubwa sana zingeniangukia,naweza sema hiki ndokitu kikubwa zaid kilichonifanya jamaa alivyotupia huo mkeka nikapekua jina ladogo kama sijui napekuwa nini
 
Hongera Kwa kumpambania mdogo wako unapunguza idadi ya tegemezi katika familia na ukoo wenu. Mungu amtangulie katika mafunzo yakeπŸ™
 
Hongera Kwa kumpambania mdogo wako unapunguza idadi ya tegemezi katika familia na ukoo wenu. Mungu amtangulie katika mafunzo yakeπŸ™
Amina mkuuu ...nashangaa Wana dis police kaZ hiyo ...heri usiwe na kazi Wana utani Hawa dogo apate chance asiende abaki kitaaa , game tait siku ukiwa na changamoto za uchumi una taabika na kuteseka mwenyew
 
Vijana wengi wamekuwa wajinga na wapumbavu. Yaani unakuta mtu anakaa nyumbani halafu anachagua kazi
 
Haa kufeni sasa πŸ˜€..

Jeshi ni wanajeshi tu. Siasa peleka Tamisemi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii mimi pia nimeambiwa.

Tuendelee kuwa na matumaini wakuu.

Lakini pia wakuu wanaona maoni yetu humu ndani.
Wanaona vijana ambavyo wanapambana kuwa sehemu ya wapambanaji wa taifa hili.
Unaaza kuleta hadithi za kujifariji na kusifia upate ugari wako,ivi watanzania mna shida gani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…