Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Yaaani unafurahi Dg lako kwenda Moshi kwenye upolisi 🤣🤣 Daaah bora nibaki sina kazi kuliko kuwa Polisi
Maisha yametofautiana mkuu,wasomi wamekuwa wengi na ajira zimekuwa ngumu sana sasaiv,alafu kikubwa zaid kunamabomu niliamua kujivisha kwaiyo kama mambo yangeenda ndivyosivyo kuna lawama kubwa sana zingeniangukia,naweza sema hiki ndokitu kikubwa zaid kilichonifanya jamaa alivyotupia huo mkeka nikapekua jina ladogo kama sijui napekuwa nini
 
Hongera Kwa kumpambania mdogo wako unapunguza idadi ya tegemezi katika familia na ukoo wenu. Mungu amtangulie katika mafunzo yake🙏
 
Hongera Kwa kumpambania mdogo wako unapunguza idadi ya tegemezi katika familia na ukoo wenu. Mungu amtangulie katika mafunzo yake🙏
Amina mkuuu ...nashangaa Wana dis police kaZ hiyo ...heri usiwe na kazi Wana utani Hawa dogo apate chance asiende abaki kitaaa , game tait siku ukiwa na changamoto za uchumi una taabika na kuteseka mwenyew
 
Vijana wengi wamekuwa wajinga na wapumbavu. Yaani unakuta mtu anakaa nyumbani halafu anachagua kazi
 
Naona umeongea vitu ambavyo huvifahamu kabisa.

Taasisi ni tofauti na mtu binafsi.Taasisi inapawsa iendeshwe kama taasisi katika mambo yote.

Ukisema inafaa kuwaita watu kwa njia ya simu,mbona huo usaili hawakuutangaza kwa kupigia watu simu,na udhuri taarifa za vijana wote wliopitia JKT na JKU wanazo.
Tunachotetea sisi ni uwazi na uhakika wa taarifa,ili kuepusha rusha na sintofahamu.

Kumbuka kuna watu hata hizo namba walizoandika imebidi tu waombe labda kwa wazazi wao,kuna wengine wapo kwenye maeneo ambayo mtandao haupatikani,kuna wengine usikute simu imepata majanga haipo hewani,huyu tunampataje?Na je tukimkosa kuna hatua gani inayochukuliwa?

List ya wanochaguliwa kwenye usaili ikichapishwa inakuwa ni rahisi kwa marejeo na kumbukumbu.

Awamu zilizopita kuna watu walipigiwa mpaka na simu walipokwenda sehemu husika wakaambiwa majina yao hayapo,na mtu hana exhibit yeyote,vp huyu kama angelikuwa amechapisha pdf ya msurur akaenda nayo.

Hao wanaopigiwa simu wakakosekana,nafasi zao mara nyingi ndiohizo wanazopewa watu wengine tena kwa kuuziwa na rishwa,wewe unakosa.

Tunapokosoa huwa hatuchukii,tunakosoa kwa maslahi ya umma!!
Haa kufeni sasa 😀..

Jeshi ni wanajeshi tu. Siasa peleka Tamisemi 😂😂
 
Hii mimi pia nimeambiwa.

Tuendelee kuwa na matumaini wakuu.

Lakini pia wakuu wanaona maoni yetu humu ndani.
Wanaona vijana ambavyo wanapambana kuwa sehemu ya wapambanaji wa taifa hili.
Unaaza kuleta hadithi za kujifariji na kusifia upate ugari wako,ivi watanzania mna shida gani??
 
Screenshot_20240925-142706.png

Muda unazidi kwenda simu mmepigiwa?
 
Back
Top Bottom