Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Yaaaah kaka 834KJ MAKUTUPORA fuatilia ķwa waliopo hukoh watakupa updated sina haja ya kuwadanganya.
Naskia form 6 bado hawajaanza kuitwa wanasubiri bogi lao liwe na wale wa military sience alafu Kuna bogi lingine la madaktari ndio mabogi ya mwisho
 
ipo hivi hii ukweli kabisa

makutopora wamebakia 160 kati ya 400 na nao wengi walio rudishwa kwenye usahili ni vyeti vyet vingi watu wamefoji na wengine magonjwa lakini wengi walio rudishwa ni vyeti fake
 
A we tunaondoka aya twende.....
 

Attachments

  • Screenshot_20240922-091230.jpg
    Screenshot_20240922-091230.jpg
    201.2 KB · Views: 20
Sababu ni vyeti tu maana walikuwa wanaulizwa una cheti cha la saba una leaving yake,Una cheti cha form four na leaving yake una cheti cha jkt.Wanakuuliza ulienda chuo hat kama ukidanganya hukuenda wanajua sijui walikuwa wanafanyaje maana kuna mtu alidanganya akaambiwa tena unadaiwa na mkopo.
Cheti cha Mujibu😂😂😂
 
Back
Top Bottom