Ngadu07
Member
- Sep 12, 2024
- 25
- 25
Naskia form 6 bado hawajaanza kuitwa wanasubiri bogi lao liwe na wale wa military sience alafu Kuna bogi lingine la madaktari ndio mabogi ya mwishoYaaaah kaka 834KJ MAKUTUPORA fuatilia ķwa waliopo hukoh watakupa updated sina haja ya kuwadanganya.