Konny Joseph
Senior Member
- Aug 28, 2016
- 118
- 199
Cha ajabu ni kwamba waliochaguliwa wameitwa kwenye usaili kwa kupigiwa simu.Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.
NB: Depo ya kihangaiko ya mvua ni balaa wazee. Jiandaeni kisaikolojia. Sijawahi kupiga hiyo, ila atleast kwa mazingira flani nimewahi kuona.
Ni kitu cha ajabu xana kwa taasisi kubwa kama hii,kutangaza nafasi za ajira.Alafu waliochaguliwa kupigiwa simu kinyemela.
Hii ni kutengeneza mianya ya rushwa isiyodhibitika kwenye taasisi nyeti kama hii.