Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.

NB: Depo ya kihangaiko ya mvua ni balaa wazee. Jiandaeni kisaikolojia. Sijawahi kupiga hiyo, ila atleast kwa mazingira flani nimewahi kuona.
Cha ajabu ni kwamba waliochaguliwa wameitwa kwenye usaili kwa kupigiwa simu.

Ni kitu cha ajabu xana kwa taasisi kubwa kama hii,kutangaza nafasi za ajira.Alafu waliochaguliwa kupigiwa simu kinyemela.

Hii ni kutengeneza mianya ya rushwa isiyodhibitika kwenye taasisi nyeti kama hii.
 
Kwani mkuu, kuna njia ngapi za kutoa taarifa..!?
Ni lazima majina yatoke kwenye karatasi la pamoja (PDF)?
Kuna tatizo aliyepata bahati akipigiwa simu?
Ukienda kwenye interview za kazi za kiraia, huwa hawapigi simu?
Kupiga simu hairuhusiwi kwa taasisi za umma?
Ukichagua utaratibu wa taasisi yako, kisha ukaamua kuutumia huo, ni kosa?

Mkuu, umelalamika kiboya sana
 
Kiukwel so fair njia iyo inaongeza rushwa na watu kuzulimiwa
 
Kwani mkuu, kuna njia ngapi za kutoa taarifa..!?
Ni lazima majina yatoke kwenye karatasi la pamoja (PDF)?
Kuna tatizo aliyepata bahati akipigiwa simu?
Ukienda kwenye interview za kazi za kiraia, huwa hawapigi simu?
Kupiga simu hairuhusiwi kwa taasisi za umma?
Ukichagua utaratibu wa taasisi yako, kisha ukaamua kuutumia huo, ni kosa?

Mkuu, umelalamika kiboya sana
Alafu toa neno bahati , nani unamjua ana bahati kapigiwa
 
Nyie achani pressure kuweni na Subira tutaitwa tu lazima tuitwe hao walio pigiwa simu ni wa chache wale wa maelekezo makubwa kbsa ya juu kbsa weng wao wazazi wao n maafande kbsa wengne hata maombi hawakutuma lkn wameitwa kuweni na Subira tutaitwa tu
Umetia watu wengi moyo walioanza kupoteza tumaini👏🫡
 
Kwani mkuu, kuna njia ngapi za kutoa taarifa..!?
Ni lazima majina yatoke kwenye karatasi la pamoja (PDF)?
Kuna tatizo aliyepata bahati akipigiwa simu?
Ukienda kwenye interview za kazi za kiraia, huwa hawapigi simu?
Kupiga simu hairuhusiwi kwa taasisi za umma?
Ukichagua utaratibu wa taasisi yako, kisha ukaamua kuutumia huo, ni kosa?

Mkuu, umelalamika kiboya sana
Naona umeongea vitu ambavyo huvifahamu kabisa.

Taasisi ni tofauti na mtu binafsi.Taasisi inapawsa iendeshwe kama taasisi katika mambo yote.

Ukisema inafaa kuwaita watu kwa njia ya simu,mbona huo usaili hawakuutangaza kwa kupigia watu simu,na udhuri taarifa za vijana wote wliopitia JKT na JKU wanazo.
Tunachotetea sisi ni uwazi na uhakika wa taarifa,ili kuepusha rusha na sintofahamu.

Kumbuka kuna watu hata hizo namba walizoandika imebidi tu waombe labda kwa wazazi wao,kuna wengine wapo kwenye maeneo ambayo mtandao haupatikani,kuna wengine usikute simu imepata majanga haipo hewani,huyu tunampataje?Na je tukimkosa kuna hatua gani inayochukuliwa?

List ya wanochaguliwa kwenye usaili ikichapishwa inakuwa ni rahisi kwa marejeo na kumbukumbu.

Awamu zilizopita kuna watu walipigiwa mpaka na simu walipokwenda sehemu husika wakaambiwa majina yao hayapo,na mtu hana exhibit yeyote,vp huyu kama angelikuwa amechapisha pdf ya msurur akaenda nayo.

Hao wanaopigiwa simu wakakosekana,nafasi zao mara nyingi ndiohizo wanazopewa watu wengine tena kwa kuuziwa na rishwa,wewe unakosa.

Tunapokosoa huwa hatuchukii,tunakosoa kwa maslahi ya umma!!
 
Hii issue ya kupiga simu imekaa kimkakati sana ukitulia utaelewa ni njia yakupata gape la kuingiza ndugu zao kwanini usitoe pdf kila mtu aone kama taasisi zingine zinavofanya
 
Bongo hii alafu anatokea mtu anatetea 😂😂
 
Taarifa nilizonazo.Namnukuu mbuyu wangu "Waliobakia wote ni oljoro" ,hyo alinijuza juzi,kwaivyo nilivojiongeza mim ni kwamba msata itakua wnamalzia mlzia usaili kwahyo bogi la 2 tutasomana oljoro mungu afanye wepes wenye ndo to tukazitimize inshallah
 
Waliobakia wapi
 
Hii mimi pia nimeambiwa.

Tuendelee kuwa na matumaini wakuu.

Lakini pia wakuu wanaona maoni yetu humu ndani.
Wanaona vijana ambavyo wanapambana kuwa sehemu ya wapambanaji wa taifa hili.
 
Kuna watu mna utani sana utazani nyie ndo ma Cdf et Oljoro lipo umetoa uhakika wapi ndugu yangu hizi ngoma huenda imekwishaaa
 
Back
Top Bottom