king kanesh
Member
- Sep 12, 2024
- 60
- 64
Mh ww mkuu taarifa unazitoa wap mbona sisi tuna ma mbanga wa uhakika ma kanal wanasema wa mtaan bdo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina ndugu ambaye amepigiwa simu akiwa mtaani ila alipitaga jkt mujibu wa sheria previously,Ameenda kuripoti Makutupora ndio ananipa update zote hizi.Mh ww mkuu taarifa unazitoa wap mbona sisi tuna ma mbanga wa uhakika ma kanal wanasema wa mtaan bdo
Alituma baruaNina ndugu ambaye amepigiwa simu akiwa mtaani ila alipitaga jkt mujibu wa sheria previously,Ameenda kuripoti Makutupora ndio ananipa update zote hizi.
Pia kuna mshkaji wangu yupo pale Alimaliza intake ya 41 yupo Upande wa Zahanati ya makupora pale.Mh ww mkuu taarifa unazitoa wap mbona sisi tuna ma mbanga wa uhakika ma kanal wanasema wa mtaan bdo
Hapana yeye hakutuma ni wale baba kantumaAlituma barua
Basi ndo ivo unachanganya walotuma barua bado hajaitwa mtuHapana yeye hakutuma ni wale baba kantuma
Shem umeongea kwa hasira sanaWewe ndo muongo.....wewe si una mbanga ambae sio mstaafu mbona siku zote upo humu JF unazurura tu kazi kutoa taarifa za uongo kwanin na wewe wasikupigie simu sasa.
Duuuuuh sasa mbona ambao hawakutuma wameitwa wengi mnooo,Mwaka wa kufosi unakaribia kuisha acha inyeshe tuone panapovuja.Basi ndo ivo unachanganya walotuma barua bado hajaitwa mtu
Kama wangapi ,, idadiDuuuuuh sasa mbona ambao hawakutuma wameitwa wengi mnooo,Mwaka wa kufosi unakaribia kuisha acha inyeshe tuone panapovuja.
Kama wangapi ,, idadi