Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Mh ww mkuu taarifa unazitoa wap mbona sisi tuna ma mbanga wa uhakika ma kanal wanasema wa mtaan bdo
Nina ndugu ambaye amepigiwa simu akiwa mtaani ila alipitaga jkt mujibu wa sheria previously,Ameenda kuripoti Makutupora ndio ananipa update zote hizi.
 
Back
Top Bottom