Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Hawa jamaa sijui watatoa lini ila hili jambo la kupigiwa simu ni bora kungekuwa na mfumo rasmi yaani majina yanatoka watu walioitwa kwenye usaili na baadae waliopita kwenye usaili dunia sasa hivi inabadilika tuko kwenye technologies tunatumia mifumo ya zamani

Jeshi la wananchi ni letu sisi watanzania wote basi waliopo huko waweke mfumo mzuri ili kuondoa doubts katika jamii.
 
Unatoa ushauri humu daah ...Ila fresh ..
 
Jeshi ni la wanajeshi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…